Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Kwani kawaida sheria inaanza kutumika toka ilipoidhinishwa na haitaathiri walioingia mikataba nyumba kukatwa 8% na walikuwa wakilipa kwa mtindo huo.
Sheria mpya ingeanza na hao wanaoingia sasa mkataba na bodi wakatwe 15% sio walioingia huko nyuma inakuwa ni kuvunja mkataba