Dangote:Nimeridhishwa na utendaji na uongozi wa Rais Magufuli

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Ndugu Aliko Dangote ambaye ni mmliki wa kiwanda cha saruji cha Dangote Cement amesema kuwa anaridhishwa na aina ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wa JMT ndugu J Pombe Magufuli na ameahidi kuendelea kufanya kazi na serikali yake.
Dangote amesema kuwa kwa anaridhishwa kwa kiwango cha juu na hatua ambazo raisi anazichukua katika kuboresha na kuimarisha mazingira ya uwekezaji.

Source: The Guardian 7 March 2017
Ukurasa wa 5
 
Kiasi aridhishwe mwenziwe manji alia anavyofilisiwa
 
mnipe ekari zaidi ya 15,000 kwa ajili yangu kujenga bandari,mnipe gesi kwa upendeleo,mgodi bureeeee na eneo la kiwanda tena huku wizara husika zikiamrishwa ndani ya siku 7 na huku nikipewa unafuu na.msamaha wa kodi,naanzaje kukataa kuwasifia?

Najaribu kuwaza tu Chief Mangungo wa Msovelo yeye alianzaje kuhonga nchi,maana wanasema kwa kupewa shanga,zilizovaliwa na.mabinti ama tunguri za kuwangia?!!

Ila Manji aliyeajiri zaidi ya watanzania 25,000 na hela zake amewekeza hapa hapa na anatumia hapa hapa hafai,ni mwizi na mvuta unga,anafilisiwa!!
 
Mkuu hii habari team wema (ukawa) hawataipenda, hapo walitamani kusikia "dangote asema atasitisha uwekezaji wake hapa tz!"
Team wema ni janga la kitaifa!.
Kwa akili yako tu ya kawaida unategemea aseme hajaridhishwa na utendaji wa Magufuli? Chunguza wahindi wakiondoka hapo kwa dangote jua karidhishwa wakibaki hapo jua hajaridhishwa.
 
mnipe ekari zaidi ya 15,000 kwa ajili yangu kujenga bandari,mnipe gesi kwa upendeleo,mgodi bureeeee na eneo la kiwanda tena huku wizara husika zikiamrishwa ndani ya siku 7 na huku nikipewa unafuu na.msamaha wa kodi,naanzaje kukataa kuwasifia?

Najaribu kuwaza tu Chief Mangungo wa Msovelo yeye alianzaje kuhonga nchi,maana wanasema kwa kupewa shanga,zilizovaliwa na.mabinti ama tunguri za kuwangia?!!

Ila Manji aliyeajiri zaidi ya watanzania 25,000 na hela zake amewekeza hapa hapa na anatumia hapa hapa hafai,ni mwizi na mvuta unga,anafilisiwa!!
ndio anavuta unga ni teja na nchi hii hatukalibishi mtu wa kuajiri mateja
 
mnipe ekari zaidi ya 15,000 kwa ajili yangu kujenga bandari,mnipe gesi kwa upendeleo,mgodi bureeeee na eneo la kiwanda tena huku wizara husika zikiamrishwa ndani ya siku 7 na huku nikipewa unafuu na.msamaha wa kodi,naanzaje kukataa kuwasifia?

Najaribu kuwaza tu Chief Mangungo wa Msovelo yeye alianzaje kuhonga nchi,maana wanasema kwa kupewa shanga,zilizovaliwa na.mabinti ama tunguri za kuwangia?!!

Ila Manji aliyeajiri zaidi ya watanzania 25,000 na hela zake amewekeza hapa hapa na anatumia hapa hapa hafai,ni mwizi na mvuta unga,anafilisiwa!!
Una point
 
Back
Top Bottom