The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,228
- 116,840
Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...