lakini kwa uhalisia DED ni kila kitu maana ndie mwenye mafungu ya maendeleo, mwenye miradi na pia watu. yaani kama katibu mkuu ndani ya wizara. DAS ni kazi ya ukaraani na umtumishi wa kisiasa. nimewahi kumkatalia mzee wa chama hii post ya DAS maana nilikuwa sina ajiara nikaenda kulia kwa mzee...
Pia mwambie kuwa ubora wa elimu siyo div one tu, kuna zaidi ya hapo. Kuna wenye two na three lakini kuna maarifa zaidi wanapata. Ingia makazini utaona. Kuna kijana mwenye one ila PC kaja kuionea university, uwezo wa kuchambua mambo na kujenga hoja, kujiamini,
Ndio hapo unaona tofauti ya...
Magamba Sec haipo tena, imebadilishwa Matumizi sasa ni Chuo kikuu cha SEKOMU (sebastian Kolowa Memorial University)
Post sent using JamiiForums mobile app
Sure... Akipiga ECA, pia alikuwa kiongozi wetu ukwata. Tambaza 2005
Pumzika kwa amani kaka. Nakumbuka sana Tanganyika Library.
Kwa mama Tambaza.
Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
Dini yake yenyewe ni full show off, kipindi cha mfungo kama hiki ni full kujitangaza kuwa kafunga, sijui subiria mwezi uishe, kusugua paji la uso ili sigda itoke aonekane mcha Mungu.
Hii imani ni ya kujionyesha zaidi kuliko matendo yampendezayi Mungu.
Niffah hii ishu naona unaifuatilia sana, seems alberto aliwahi kukupiga na akakuacha sasa unaona hapa ndipo pa kulipia. But ukweli hakuna ndoa kuvunjika na huu ni upepo tu.
Je wewe una usafi kiasi gani? Vile picha imeleak bahati mbaya.
Tuacheni unafiki. Toka juzi naona unachamgia tu na kutia...
Lakini kitambo sana Alberto alikuwa anadaiwa anamla Nyanga Marehemu na ilikuwa skendo sana... Hivyo anaendeleza ubazazi wake, bora kama ni kwa Giggy na ni wa kike kuliko alvyokuwa anawapiga wanaume wenzie.
Jack pole sana
Ulimjuaje huyo Mange... Taarifa ni muhimu sana, nduguyo wa Lumumba Bwana Polepole siku hizi anajibu hoja za Mange tu, maana anawajambisha Lumumba balaaa... Ni full kucheza ngoma yake tu, leo dhafa, kedho mchiriku, mdumange, Nk polepole anakimbizwa balaa.
Poleni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.