Recent content by Mwaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mmsaai Akibembeleza

    Hii kitu noma ata kama mama nanii amechukia lazima akubali tuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ghana Beats Brazil To Win U20 Worldcup!!!

    Kombe la wakubwa nawapa Ghana na Ivory coast nafasi ya kufanya vizuri ata kama hawata chukua kombe, kuna uwezekano m2 kuingia semi-final 2010. Hongera Ghana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ghana Beats Brazil To Win U20 Worldcup!!!

    Ngoja tusubili 2010 lazima Africa tufanye maajabu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ghana Beats Brazil To Win U20 Worldcup!!!

    Ghana mabingwa. Hongera sana Ghana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mbeya 2005-2010

    Jifunze kuandika kwanza ndio uje hapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Ni Kweli Richard Madete unagombea Ubunge 2010?

    Kwanini na wewe usiende kugombea au unataka kula pesa za tanroad 2.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka!!!

    Kunisea mkuu?hayo matusi sasa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka!!!

    Ngugu ndio nini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Uingereza: Tanzania mambo huwa hivi

    naona mmiliki ameweka tangazzo kwa wapenda vya bure.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha za watoto wakiwa swimming pool

    Ila swla la mazoezi nyumbani naona watu wanaona halina umuhimu sana, mastar kibao 2 nawaona wana vitambi kishenzi; wazazi inabidi waonyeshe mifano kwa watoto wao coz mtoto akiwaona wazazi hawana mda wa mazoezi na yeye halichukulii maanani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha za watoto wakiwa swimming pool

    Du watoto inabidi wawe wanafanya mazoezi, vitambi si mchezo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: CAF Confederation Cup

    Mechi ya prison mkuu inapigiwa wapi? Asante kwa kutujulisha.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo naona ni iliku siku ya arsenal. Full time Arsenal 3 hull 1
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal naona leo kaamua anapiga la tatu sasa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    van Persie kafunga
Back
Top Bottom