Special thread: CAF Confederation Cup

Special thread: CAF Confederation Cup

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,823

attachment.php

[TABLE="class: table table-condensed no-margin, width: 654"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: left"]2014-09-20[/TD]
[TD="align: left"]17:00[/TD]
[TD="align: right"]Coton Sport de Garoua[/TD]
[TD="class: flag, align: right"][/TD]
[TD="align: center"]0 - 1[/TD]
[TD="class: flag, align: left"][/TD]
[TD="align: left"]Al Ahly[/TD]
[TD="class: flag"][/TD]
[TD]Report[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: left"]2014-09-21[/TD]
[TD="align: left"]17:30
[/TD]
[TD="align: right"]Sewe Sport[/TD]
[TD="class: flag, align: right"][/TD]
[TD="align: center"]vs[/TD]
[TD="class: flag, align: left"][/TD]
[TD="align: left"]AC Leopard[/TD]
[TD="class: flag"][/TD]
[TD="width: 80"]Preview[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited:
Dah noma kweli Miembeni washapigwa la pili,mechi inachezwa Zambia
 
Mechi zote mbili zimekwisha Prisons na Miembeni wote wamelala 2-0...Noma kweli jamani
 
Mechi zote mbili zimekwisha Prisons na Miembeni wote wamelala 2-0...Noma kweli jamani

Balantanda ahsante kwa kutuhabarisha. Haya matokeo yanaendana na viwango vya ligi zetu (bara + visiwani)
 
Balantanda tunashukuru kwa update manake huku tulipo bila mtu kama mwenye imani kama wewe tunaweza ishia shangilia timu za wazungu tu. Lakini bwana Prisons mwaka jana walikua fiti. Hii ni noma, inabidi Yanga ijizatiti manake wao ndo wanaotupa matumaini.
 
Vigogo vikubwa vya Africa katika soka, Al Ahly ya Misri na ASEC Abidjan ya Ivory Coast weekend hii vimefungashiwa virago na kuaga kabisa mashindano yote ya Africa mwaka huu. Al Ahly na ASEC ziliingia katika kombe la shirikisho baada ya awali kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa. Katika weekend hii, Ahly wametolewa kwa penalt 6-5 na Santos ya Angola baada ya kuwa na aggregate score ya mabao 3-3. Kila timu ilishinda 3-0 nyumbani kwake, na katika mikwaju ya penalt, Ahly wakatolewa. ASEC nayo imefungasha virago baada ya kwenda suluhu 0-0 na ENNPI ya Misri, kwani matokeo ya mwanzo ASEC iliruhusu sare ya mabao 2-2 nyumbani kwake na kuifanya ENNPI isonge mbele kwa faida ya mabao ya ugenini. Ahly na ASEC zote zilizikuta Santos na ENNPI katika kombe la shirikisho, huku wenyewe (vigogo) wakiingia baada ya kutolewa CL. Hii inaondoa dhana kwamba timu zinazoshiriki moja kwa moja ktk kombe la shirikisho huwa ni dhaifu kulinganisha na zile zinazoanzia CL. Ikumbukwe pia kwamba Ahly iliitoa Yanga ya Tanzania.Kwa Tanzania, mwaka ujao Yanga watacheza CL huku Simba wakicheza kombe la shirikisho.
 
Last edited:
Pia mabingwa wa misimu miwili iliyopita, wa Kombe la Shirikisho Africa, CS Sfaxen ya Tunisia nayo imetolewa nje ya mashindano hayo na moja ya timu za Angola.
 
Al Ahly Shendi ambao waliwatoa simba kwene kinyang'anyiro cha kombe la shirikisho CAF usiku wa leo wamechapwa goli 2-1 ktk mwendelezo wa mashindano hayo na timu ya Al Hilal Omdurman nayo ya nchini Sudan. Je Simba na timu zetu TZ zinajipangaje ktk mashindano ya kimataifa mwaka ujao?
 
Hii mechi ya kwanza ya fainali ya kombe la shirikisho inachezwa leo mjini Sfax, lakini taarifa zake ni chache sana mtandaoni. Kwa yeyote atakayebahatisha matokeo yake atuwekee humu...
 
Hii mechi ya kwanza ya fainali ya kombe la shirikisho inachezwa leo mjini Sfax, lakini taarifa zake ni chache sana mtandaoni. Kwa yeyote atakayebahatisha matokeo yake atuwekee humu...

Binafsi nimeingia website ya mazembe hamna kitu. Wanatangaza wachezaji wao tu na game ya marudiano ya tar 30.11.2013!
 
dk ya 90 Jamaa wanapata goli la pili. Mpira umekwisha mazembe wamelala kwa magoli mawili
 
Hii mechi ya kwanza ya fainali ya kombe la shirikisho inachezwa leo mjini Sfax, lakini taarifa zake ni chache sana mtandaoni. Kwa yeyote atakayebahatisha matokeo yake atuwekee humu...
Mtani wangu mpendwaEeee sii kitu kikombe hiki tutawaachia TP Mzembe... kinatosha kile cha Ahly Ubingwa Afrika...hah ha ha mkuu good weekend.
 
kama washafungwa ndio yale ya pirates..

Hapana bro, hiyo ni leg ya kwanza. Na usisahau kuwa hapa ni Afrika ambapo kuna sheria no. 18, kuwa timu a nyumbani ni lazima ishinde teh teh teh... Wasubiri dhahma hapo Lubumbashi.
 
Mashabiki wa Mazembe ni vichaa,huko lubumbashi jamaa wataanza kufungwa hata kabla awajaingia uwanjani.
 
Back
Top Bottom