Ligi ya Uingereza: Tanzania mambo huwa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ligi ya Uingereza: Tanzania mambo huwa hivi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kaa la Moto, Jul 10, 2009.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wakuu ni miezi michache tu ijayo tutaingia kwenye kashikashi za ligi ya uingereza na hapa kwetu mashabiki hadi vijijini utaka kuinjoi kila moment ya uondo huu.

  Lakini mara nyingi visenti vya kiingilio huwa taabu kweli na vijana huwa maskini wanaishia kupiga chabo kila lilipo tundu ilimradi na wao wafaidi.:D

  Vijana hawa kwenye moja ya mikoa ya Tz bara wakipiga chabo hilo:D

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  mbagala kwa Jimmy hapo
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  :D:D:eek:
  Umekosa, jaribu tena!
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mchukia Fisadi mbona panataka kufanana na pale Tandale kwa Mtogole kwenye kona ya kwenda Kijitonyama kwa Ali Maua
   
 5. M

  Mwaga Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naona mmiliki ameweka tangazzo kwa wapenda vya bure.
   
 6. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo naona ni kwa Mfuga-mbwa
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Umekosa. Jaribu tena:D
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Umekosa jaribu tena:D
  Jamani kwa kuwasaidia tu hapo wala si Dar ni mikoani:D
  Nani anaweza kupafahamu?
   
Loading...