Elections 2010 Ni Kweli Richard Madete unagombea Ubunge 2010?

Mvutakamba

Member
Jul 31, 2009
58
1
Kuna habari zime enea sana hapa Magu kwamba Bw.Madete naye mhandisi amenuia kugombea Ubunge Magu .Madete mwenyewe yuko kimya baada ya kuona uvumi umekuwa mkubwa nimeona nije hapa kamvini kuuliza huenda kuna watu wana taarifa kama ilivyo kuwa kwa Mwakalinga .Kama itakuwa kweli baso tanzanet itakuwa imeanza kuchomoza watu kwa wingi toka kwenye kijiwe chao cha CCM.Yes tanzanet ni kijiwe cha wana CCM kuna kila aina ya ushahidi ,Madete wewe ni msomaji naamini hebu tuweke sawa unangoja ufanye mambo kama Mwakalinga ?
 
Mvutakamba,

Sijui kama Bro Madete ni member humu ndani wa yaani JF.

Hili swali lipeleke huko Tanzanet. Hata kama yumo, sidhani kama anatumia jina lake. Na kama yupo kwa jina bandia, sidhani kama atakujibu.

Huyu humu ndani hajulikani na itakuwa vigumu sana kujadiliwa. Labda utaje jina lake la JF na upate BAN.
 
Madete kama Mwakalinga wana uzoefu tokea tanzanet wote ni watu wa IT ka wote wako hapa ama ni wanachama wa JF .Watu wa tanzanet wanashinda maana info tanzanet ni majina na wana CCM JF ni jamvi huru mno .Nadhani wa Magu wanaweza kuja na habari tofauti na mimi , kama anataka kugombea na akiwa mwana Jamvi ashindwe kusema kwa uwazi hapa basi itakuwa maajabu kama ya Mwakalinga kusema hili leo na kesho lile lakini wote wana ongelea kitu kile kile
 
Sikonge
Mbunge wa magu ni nani?

God knows mbunge wa Magu. Nafikiri hilo nitaanza kulifuatilia sasa baada ya kusikia kaka Madete kaamua kuikimbia German na kurudi home kuwa mbunge. Jamaa nakumbuka amekuwa mfuatiliaji sana wa vilio vya wanafunzi wakiwa nje. Pia ni active member wa Tanzanet. Sijui sifa zake zaidi kwa uongozi. Ila anaweza kuleta vitabia vya kiGeruma kwenye bunge letu na Tanzania kwa ujumla. Sijui na ulevi? Maana ile Octiber 1, Wageruman huwa wanakunywa hadi wanaji .......
 
God knows mbunge wa Magu. Nafikiri hilo nitaanza kulifuatilia sasa baada ya kusikia kaka Madete kaamua kuikimbia German na kurudi home kuwa mbunge. Jamaa nakumbuka amekuwa mfuatiliaji sana wa vilio vya wanafunzi wakiwa nje. Pia ni active member wa Tanzanet. Sijui sifa zake zaidi kwa uongozi. Ila anaweza kuleta vitabia vya kiGeruma kwenye bunge letu na Tanzania kwa ujumla. Sijui na ulevi? Maana ile Octiber 1, Wageruman huwa wanakunywa hadi wanaji .....


Wanajinanino?
 
All in all ana haki zote kikatiba kama ametimiza masharti yote ya kisheria na chama chake katika kugombea Ubunge au hata uraisi.

N vizuri sasa vijana kugombea uongozi ili kuleta changamoto bungeni kama wafanyavyo akina Kabwe Zitto.

Nasriyah
 
Back
Top Bottom