Recent content by mwafrikamashariki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    yaan ofisi za private kama bank hakuna maelezo, ukichelewa ni barua ya kujieleza tu kisha hatua za kinidhamu zinafuata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    kwan BOT wanalipwa kiac gan mpaka apate pesa ya kwenda kula bata ugaibuni tena na familia yake? halafu et anakwenda kwa ajili ya ckukuu za mwisho wa mwaka anatumia kias gan cha pesa ya mshahara wake yaan mshahara wa BOT umpeleke yeye na family yote nje? au ni mfanya biashara!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

    yaan ule wimbo wa baba katoka shambani na mkungu wa ndizi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

    kuna ule wimbo wa mama kapika ugali na mfinyango wa nyama ya dede ya dede yaaaa! na ule katoka shamban na mkungu wa ndizi, kipindi hicho shule mnasoma kitabu cha hawafu mwenye nguvu, mkicheza football unavaa kiatu mguu m1 kingine unampa mwingine.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujifunza lugha ya Kifaransa ndani ya wiki 2?

    me ninejifunza mwaka mzima chuo pale SAUT na bado cjakujiua sembuse wk 2 tu, haiwezekani hata kwa kulala na vitabu vys France kitandani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii kali sasa: Shule ya kwanza kitaifa matokeo darasa la saba imetokea Geita!

    mwaka jana shule ya kwanza kitaifa kwa 4m4 hivi c ilitoka mkoani Kagera
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kupiga Punyeto wewe hujakamilika

    me hata leo nimepiga msasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Obama angekuwa na busara asingekubali kutai saini mswaada wa ushoga na utoaji mimba za ovyo ovyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yapi maisha yenye furaha kati ya haya

    maisha yenye furaha ni kwenda kuchinja mtu tu october 25
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wahaha kuvuluga Mdahalo wa wagombea Urais!

    mbona sa hivi ni saa nane na dakika 10 Magufuli yupo hapa Ngudu- Kwimba, Mwanza kwenye mdahalo anakuja saa ngapi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Cement ya Dangote toka Mtwara, itawafikiaje wananchi wa Kigoma na Manyara?

    hata bei ya sukari, sembe, nyama, ngano kwa kilo 1 moja, inalingana karibu nchi nzima.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "only the dead have seen the end of war"
Back
Top Bottom