Yapi maisha yenye furaha kati ya haya

Yapi maisha yenye furaha kati ya haya

NO 2 ndo mpango mzima
Mapenzi stress tupu hata uwe na michepuko 100
 
Yote yanafuraha kulingana na anayeyaishi.

Wapo walio kwenye ndoa ila kila siku ugomvi. Lakini kwenye ndoa hiyo hiyo wapo wenye furaha isiyo na kifani.

Hata hizo kesi zingine mbili pia bado zinategemea na mhusika/wahusika wake
 
Kama umeshika dini na unampenda MUNGU basi yatupasa tufanye kile anachotuagza tuwe kwenye ndoa au utawa <padre /sista> kama ni changamoto atazisuluhu yeye.
 
Kuwa single raha sana hupati stress wala usumbufu ni ww na maisha yako unajiamulia utakavyo nobody anakugasi hayo tuu
 
Inategemea ntu na ntu, lakini mpango wa Mungu ni Mume na Mke kuishi pamoja...hapo ukipata na familia ya watoto kadhaa....SWAAAFI!!!
 
Back
Top Bottom