Recent content by mwacheni77

 1. M

  Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

  Umesema hukupata muda sasa ulijuaje kama mama j hakufurahi,mwanamke hadi anasema ndio ujue amefurahi tendo
 2. M

  Mayanga: Kumuacha Ajibu kumuongeza Boko, ni incompetency ya kiwango cha juu

  Kifupi ni kuwa ajibu ni legelege while bocco ni mpambanaji
 3. M

  Mashabiki wa Simba hapo mimi ndio napochoka sijui wakoje, ndio maana mimi acha nishabikie Boma fc

  Kuruka ruka kwa maharage/bisi ndio kuiva kwake,let wait and see
 4. M

  Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

  Aibu yetu aibu yao aibu yako mwenyewe hahahaha,jitahidi kwenye unajimu hata marehemu shekh yahya alikuwa anakosea pia,pole bhana,ndio maisha uliyojichagulia so huna budi kupambana na hali yako
 5. M

  Mashabiki wa Simba hapo mimi ndio napochoka sijui wakoje, ndio maana mimi acha nishabikie Boma fc

  Ndala mnashida sana,huo wote ni uoga tukutane 19/08 ndio utajua kuna wanaume na wavulana
 6. M

  Millard Ayo achafuliwa Instagram

  Anatafuta followerz huyo
 7. M

  Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

  Wale kina Ivan wanavyopenda sifa,wangemla huyu zari kipindi hiki yupo diamond hakuna sayar isingejua acha jua,dunia mzima ingejua kwa marefu na ushahidi wa picha kabisa,ktk kitu Ivan kina muuma ktk maisha yake ni haya mapenzi ya hawa watu..so diamond sio fala na hajawai kuwa fala ile ni damu yake
 8. M

  Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

  Kwa mfano ikigundulika Makonda hajafoji hvyo vyeti,ni propaganda tu,Gwajima ataendelea kunihubir mm nikamuelewa cos kiongozi mkubwa wa kanisa kusadikisha uongo mbele ya dhabahu na waumin zaidi ya elf 10 tukuite nan mwisho wa siku?Tuweke akiba ya maneno kwa kila jambo cos tutakuja...
 9. M

  Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

  Hahahaa dah kweli kaka,mtu kama huyu ndio shemeji yako,au ndugu yako hatar sana,ngoja tuone kwenye majina ya dr.kigwangalla
 10. M

  Hivi kwanini Wema anapendwa?

  Ndivyo ilivyo kila mtu kazaliwa na bahati yake so ukiitumia vyema inaweza ikawa faida kwako ukitumia vibaya itakuletea athar,kuna watu wanampenda adolph hitler pmj na maovu yote aliyoyafanya duniani kwa kuuwa jews 6 mils,kuna watu wanampenda scorpion na ukatili wake wote ule,kuna vitu vinapendwa...
 11. M

  Diamond na Alikiba ndani ya Tangazo la NSSF

  Hii sio jipya,hili tangazo lilitolewa na kigoma all starz,miaka mingi tu iiliyopita,mpaka video yake ipo,wapo wanamzik kibao kina banana,linex,mwasiti,ommy dimpoz,etc etc
 12. M

  Mtoto wa Kajala kuhusishwa na video chafu ya ngono

  Ukiwa mzazi sio vitu vya kuvifurahia,unless uwe kwenye ule umri wa uendawazimu,haya tufanye ni paula yule ww wako unajua anafanywa nini?hv vitu sio vya kushabikia sana,inatubidi tukae tutafakari wapi tunakosea ktk malezi yetu na wtt wetu,fikilia paula ni mwanamke je kama wako wakiume anafanywa...
 13. M

  Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

  Leo niaje,morogoro kinanuka,simba 2-0
Top Bottom