mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Wakuu kumekuwa kuna video ya kwichi kwichi inayodhaniwa kuwa ni ya mtoto wa kajala masanja
Katika video hiyo inaonekana binti mdogo anayeugulia kipigo cha paipu
~Kajala akanusha
Kajala masanja amekanusha vikali katika ukurasa wake wa instagram kuwa anayeonekana kwenye video ile sio mwanae. Pia amedai kuwa baadhi ya watu wanachokifanya ni kumdhalilisha yeye na mtoto wake paula
~Wadau watoa ushauri
Baadhi ya wadau wametoa ushauri kuwa kajala masanja amefanya kosa kubwa kumuingiza mtoto wake katika mitandao ya kijamii wakati bado anasoma
Wadau wamemshauri amtoe mara moja katika mitandao ya kijamii la sivyo atakuja kujuta
Baadhi ya wadau wengine wamedai kuwa matendo ya kajala nayo yanachangia kumuharibu mtoto wake ikiwa ni pamoja na kuendekeza starehe za vijana wakati yeye ni mtu mzima anayetakiwa kujiheshimu sasa