Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
 
5f6f0b409523ca427585f03321a4ec4d.jpg
 
Wewe ulishawahi kuoa au kuolewa? Unajua maana ya mtu kuwa nervous?

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom