Recent content by mwaarabu wa dubai

  1. mwaarabu wa dubai

    Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Me toka Rakesh kaondoka kufatilia twaweza ni sawa na kusubili taarifa ya Habari Saa mbili Ucku kupitia TBC
  2. mwaarabu wa dubai

    Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Kweli huu mwaka wa mabadiliko mpaka wateja wa kudumu wa ccm kanda ya kusini nao wameshituka Asante Sana Masasi
  3. mwaarabu wa dubai

    Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

    Team ya kwanza lowasa ,Sumaye,team ya pili Mbowe mnyika ,team ya Tatu Lema,sugu,team ya nne msigwa ,tundu Lisu team ya tano halima mdee,mwalimu na wenje
  4. mwaarabu wa dubai

    Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    Asante Sana Masasi Mji wa kibiashara wa kanda ya kusini ,mmewajibu twaweza Kwa tafiti zao za kupika
  5. mwaarabu wa dubai

    Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

    Mashuja hupatikana nyakati ngumu kusinge kuwa na mashuja iwapo Dunia isingekuwa inapita kwenye vipindi vigumu,kwasasa msaga sumu ni msanii aliye ongeza thamani yake kubwa Sana kipindi hiki huyu ni shujaa wa watu wenye akili I
  6. mwaarabu wa dubai

    Joseph Msukuma ni nani?

    Hivi hawa ccm Sifa ya kuwa mwenyekiti ni ninii namwangalie ndugu abdallah bulembo mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi na huyu msukuma mwenyekiti wa mkoa wa geita nabaki sielewi elewi
  7. mwaarabu wa dubai

    Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana

    Hiyo ndio Hali halisi ukweni Kwa Dk Slaa Asante sana Bukoba
  8. mwaarabu wa dubai

    Kuendesha magari Dar sasa ishakua kero

    Me binafsi nina pikipiki na Gari siku Za weekday natumia pikipiki Gari natumia weekend na ucku Kwa cku Za Kazi.kwani hiii monyororo miirefu ya kutoka katikati ya jijiii na kuludi njee ya jijiii sii weziii.
  9. mwaarabu wa dubai

    Alichokifanya Regina Lowassa pale Bukoba, huku mumewe akifunika Muleba

    Hao ndio wanawake haswa mheshimiwa lowasa alisema kuwa haikuwa Kazi rahisi kumshawishi mama Regina ili amruhusu mume wake kutoka ccm na kuhamia chadema lakini mama Regina Kwa ushawishi mkubwa wa Mzee lowasa mama alikubali kuruhusu Mzee lowasa kwenda chadema pia mama naye pamoja na familia nzima...
  10. mwaarabu wa dubai

    Mkutano wa Masaburi leo Kimara mwisho stendi

    Leo wana ubungo na kibamba tutakuwa Mbezi mwisho tuna wasikiliza wagombea wetu wa jimbo la kibamba na ubungo
  11. mwaarabu wa dubai

    Mnyika ni mbunge tayari

    Mama kabugi Sanaa
  12. mwaarabu wa dubai

    Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

    Kweli mambo ya siasa magumu Sana ole Millya alifanya maamuzi magumu Kwa kuondoka ccm kwenda CDM na kumuacha baba yake lowasa ccm Leo hii wote wako CDM .kweli nani kaona kesho???
Back
Top Bottom