Walikataa picha/mabango za Lowassa pale Kariakoo wakidai mamlaka za soko hazihusiki na Siasa!! Leo wanafanyia mikutano stand na kusababisha usumbufu usio na sababu za msingi. Na tuambiwe leo kama Mamlaka za barabara Inajihusisha na Siasa ili wengine wakapige mkutano Manzese darajani.
Lowassa alikuwa akipita Gongo la Mboto na kwingineko wakasema anasababisha usumbufu kwa wakaazi wa maeneo husika!! Wacheni uonevu nchi hii yetu sote. Na mwaka huu imekula kwenu ni mwendo wa Lowassa to Ikulu.

Sio masaburi ni fenera Mukangara
said kubenea huyu kichaa na mwandishi anaekurupuka!!!!mwandishi kigeugeu!!!mwandishi mchumia tumbo!!!hawez mshinda masabur aliyepata kula 13000 ubungo!!!kweli itawaweka huru daima!!!!

Masaburi kweli huyo...!!!
Hata ukimuona tu sura, utajua ni Masaburi.... hata kura 1000 akipata Ubungo nzima ana bahati... kati ya walio kosa Ubunge hadi sasa ni huyo Masaburi....
Fisadi wa UDA... na Rizmoko...!!!
Anatafuta "mafuriko" na hakuna pengine zaidi ya kimara stand kwakuwa watu wengi watakuwa wanapita na shughuli zao hivyo kusaidia picha kuonekana vyema