Recent content by mvujajasho

  1. mvujajasho

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Kumnenepesha mbuzi inachukua wastani wa muda gani? Yaani tokea uanze kumuhudumia hadi unapomsulubu?
  2. mvujajasho

    Daycare centre, hazina iliyojificha

    Hivi ada za hizi day care wazazi wanalipaga bei gani
  3. mvujajasho

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mimi swali langu ni kuwa unalipwa kwa idadi ya kilo za nyama tu?? Vipi kuhusu ngozi? Makongoro, kichwa nk? Maana kwenye ngozi lazima wana subsidiary business. Kama vipi wakishangilia nyama watuite tukachukue hayo masafa mengine tukapige biashara mtaani wasitufanye wajinga, eboo (utadhani...
  4. mvujajasho

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu Brela ni usajili na si watoaji wa leseni. Nadhani namba 1 ni sahihi ila namba 4 ni mamlaka inayohusika na hiyo biashara au halmashauri ya eneo alilopo
  5. mvujajasho

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Na je kama mnunuzi wako ni kutoka nje ya nchi na alikulipa cash?
  6. mvujajasho

    Biashara ya sabuni za kufulia (za mche)

    Wanajamii, wasalaam Nina ndoto ya kufungua biashara ya sabuni za kufulia kwa maana ya kufungua kiwanda. Kwenye tafiti nilizofanya kwa maana ya mashine/ mtambo toka chini itaigharimu kama milioni mia moja kuanza biashara hii. Naomba kama kuna aliyepo kwenye biashara hîi tayari anisaidie a,b,c...
  7. mvujajasho

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

    Nadhani anaongelea mwaka wa kiutawala/ tangu uchaguzi mkuu uliopita. Leo ni siku ya 40 kuanzia tarehe 1 December
  8. mvujajasho

    Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    Mbona kama najua Jidula Mabambasi alishafariki? Samahani lakini yawezekana nina taarifa potofu
  9. mvujajasho

    Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Tutafute tukuhudumie boss. www.parksadventure.com
  10. mvujajasho

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Kama kweli anamaanisha basi option nyepesi kwake ilikuwa ni kujiuzulu ili amtengenezee mama mazingira mazuri ya kazi yasiyo na makunyanzi. Anasema ‘inawezekana’ hekaheka zao zilipelekea umoja wa vijana kutetereka. Inaonekana hana uhakika au ni mnafiki. Ukweli ni kuwa kauli na ‘maagizo’ yake...
  11. mvujajasho

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Soko lake ndio wewe na mwingine atakayeulizia
  12. mvujajasho

    Mauzo ya katani yanauzwa kwa tani au kwa kilo?

    Mkuu naomba niPM namba yako. Nahitaji kuzungumza nawe. Nina ekari 10 Korogwe nataka nianze hii kitu
  13. mvujajasho

    Jinsi ya Kupata Masoko kwa ajili ya bidhaa zitokanazo na kuku

    Mkuu uko Arusha sehemu gani? Unauza bei gani?
  14. mvujajasho

    Maoni ya Mwanakijiji juu ya Escrow baada ya wahusika kukamatwa

    Angeanza kuandika hii post bila kuanza na " Maoni ya Mwanakijiji baada ya...." swali lako la pili lingekuwa valid. Soma tena post yake utaelewa Halafu ningependa kujua kama hii nayo ni ID ya Mwanakijiji ? Angeanza
Back
Top Bottom