Recent content by mvo

  1. mvo

    Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

    Hadi 65 kwa Lita 20 dumu
  2. mvo

    Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    Sio chumvi tu.[emoji3] [emoji3]
  3. mvo

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Mkuu hilo swali pia linakuuliza wewe,, Yeye kaona , wewe VIP?
  4. mvo

    Korea Kaskazini Iko Tayari Kuharibu na Kuangamiza Silaha Za Nyuklia Hadharani

    Chakuambiwa..... Ongeza na chako..
  5. mvo

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Hawa wadada nawakuvali mno,, nadhan ajili zao kimaisha ziko juu sana, mood zao na kifikra ziko juu,, Historia yao inawafanya wajikubali wao kama wao, na mtizamo huo huwafanya wa focus positively, Ukiweza kumuaminisha kuwa Furaha IPO bado, na wewe unaweza kumkeep safe, utafika mbali...
  6. mvo

    Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Mkiruhusiwa jioni mnapiga kelele na kukimbia hadi nyumbani.
  7. mvo

    Simu yako ina utambulisho halisi?

    9⅞+7½=
  8. mvo

    Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Mimi sio mjuzi wa haya mambo ila naegemea kwako na kwa mtoa hoja. Mtoa hoja hajasema hawa watu sio ndg kwenye Maelezo yake, Alichochosema ni wapi ukristo ulianzia kwa Mara ya kwanza ni Eneo gani..na ni wapi uislamu ulianzia kwa Mara ya kwanza na ni Eneo gani.. NB. Historia unaweza...
  9. mvo

    Nimegundua Ana mimba ya mtu mwingine baada ya kumchumbia na kunikubalia kumuoa

    Sijawahi ona mtu kuuliza ushauri wa kuua hata siku moja, Wewe unaonaje kwanza, Nikusaidie kukufikirisha kwanza, 1: kama aliona ni vizuri kutoa kwann asitoe hukoooo, hadi aje kukuambia ushiriki kwenye dhambi hii ya kuua, 2: Kwanini aende kulee(jamaa yake kusema ana mimba) jamaa angeikubali...
  10. mvo

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Naamini unawaza tu, ila hujaanza. Ukianza ndo utajua kukosea huana kwenye kuwaza,, Unawezaje kuwaza kufeli, kushindwa!! Nakushauri ukawaulize makahaba kwanza nini zaidi wanakifurahia, na wanafaidika na nini huko, na kama kuna kosa wanajutia waulize ni wapi,, Wao wanajua zaidi,
Back
Top Bottom