Recent content by Mvella jr.

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jua haya kuhusu mapenzi na ngono huko Marekani

    Hii ya Washington huku bongo sisi wenye wake si tutamegewa kisela mpaka tukome.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yazungumzia tishio la Serikali ya Marekani kusitisha misaada

    Kuna watu humu jamvini sijui kwa kutokujua dunia ya sasa inaendaje au kwa ubishi tu wa kijinga au sijui niseme nini, hivi kuna nchi ya ulimwengu wa tatu ambayo haitegemei misaada? Hivi Mugabe na kiburi chake leo Zimbabwe iko wapi? Kama taifa kama China lenye uchumi mkubwa sana lakini inapotokea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yazungumzia tishio la Serikali ya Marekani kusitisha misaada

    Mkuu 👍
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

    Ndio hapo nilikuwa najiuliza, Saudia na unga wapi na wapi? Kesi ya unga Saud ufungwe na si jambia, hapo nimekuelewa mkuu!!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

    Mkuu kwa mawazo yangu Mungu alikua upande wako, just imagine kama mngekua mpo pamoja then akakukaribisha huko Saudia na ukaenda ,katika tukio police wanakukuta uko nae, si nawewe si ungekuwa hatiani? Huna sababu ya kumfikiria sana haijarishi Alikuwa na umri gani, huenda huo upunda alianza muda...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

    Sasa kama uhusiano ulisha vunjika na mawasiliano hakuna kinachokuumiza ni nini? unajuaje huenda alipata mbadala wako ndie akamtumbukiza kwenye hiyo biashara kharam? Hebu tafakari!! Ni mawazo yangu tu.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Nakubaliana na wewe kwa 100% haiwezekani mkeo akam hug mwanaume tena kwa bashasha, jitu akazungusha round kabla haja mtambulisha kwako wewe ni nani, jitu anamchukua mkeo kwenda kwenye meza yake yenye midume tupu!! Yoote hayo unatazama tu tu!! Huyu jamaa ni Bushoke kamili aisee!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Manyaunyau ahukumiwa jela miaka 3 kwa kushindwa kufufua mtu

    Si angefanya huo uganga asihukumiwe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mawazo

    Karimjee kuna makaburi? Wewe ndie mburura
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Inashangaza kuona mtu anaejielewa hajui hata kuandika vizuri, Ela = Hela, Viva LOWASSA viva!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Heading na hiyo habari yake ni kama chumvi na sugar! Viva LOWASSA viva!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni

    Uwazi, ijumaa, Amani championi, hawajaridhika tu.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

    Wakuu watu tunatofautiana, mimi huwa na enjoy zaidi akilala na nnapo ichojoa pichu mzuka hunipanda mara mbili, nakua nafeel kama vile navumbua dhahabu kwenye hazina
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

    Story ya kutunga hii!! Mwanamke umekutana nae mara ya kwanza hajakufaidi kwa kukuchuna na wala hujawahi kusumbuliwa na mkeo na ushamdadavua akuharibie ili Iweje? Hizo ni hadithi za jogoo aliesema.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimenasa ushauri

    Huyo jamaa yaani siku ya kwanza tu kakubali kwenda kulala nyumbani kwa mwanamke? Duuh!! Hii ngumu kumeza.
Back
Top Bottom