Kuna mdada ambae tumekua tukidetiana kama miezi mitatu hivi na alinambia hana mtu kwani mtu Wake yupo Gaborone jana kaniambia nimpitie kwake jioni tukapate dinner pamoja nikafika hapa kwake saa moja hivi usiku. mara mlango ukagongwa akauliza nani sauti ya kiume ikamwambia hebu fungua, akanambia mume wangu kaja akanikimbiza uvunguni mwa kitanda.
hadi sasaivi nimeshindwa kutoka na jamaa bado kalala nimesikia akimuuliza leo uendi kwako jamaa kamjibu alishaaga atarudi kesho, nifanyeje nitoke humu ndani nina njaa alafu naogopa aibu kama nikitoka sasaivi alafu tukakumbana na jamaa.
Hiyo ni message nimetumiwa na rafiki yangu ananiomba msaada.
Mimi nimepanga kwenda kituo cha polisi tukavamie humo kumnasua rafiki yangu.