Recent content by muzumbe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

    Mungu ibariki Tanzania,Mungu libariki jeshi letu tukufu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

    Watu wanafikiri ni rahisi nchi kuwa salama kama hivi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

    Zambia,Zimbabwe,Uganda na Kenya?ni upuuzi kufikiria kirahisi kwenye karne hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

    RD Congo imeipita Tanzania!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

    Huu ni upuuzi mtupu
  6. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ kwani ni lazima mazoezi yenu ya kukimbia muyafanyie humu mijini?

    Hongera jeshi letu tukufu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.Tunajivunia weledi wenu!Ni aibu kubwa kwa raia kulizungumzia vibaya!unazuzungumza mabaya ili hali unaishi humu humu,kwa amani unakula na kwenda chooni!!tuwapuuze!wanafikir ni rahisi tu kuwa na amani.Mungu ibariki Tanzania,Mungu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeijua Tanga Tech

    Simba ndilo bweni alilokuwa akikaa rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeijua Tanga Tech

    Shule nzuri mazingira yake mazuri sana,inawezekana ikawa hiyo ndiyo shule ya serikali yenye mazingira mazuri kuliko zote baada ya Kibaha secondary
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeijua Tanga Tech

    Tanga tech school, the first government sec school in Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kenya South Sudan Conflict on Ilemi Triangle

    Tujitenge na hawa watu
  11. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Hao nao waliokuwa wakihutubiwa na kuamini hotuba hiyo ni wendawazimu
  12. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Mashujaa waliojitolea kutulinda

    Shairi zuri, Mungu alibariki jeshi letu tukufu JWTZ
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Umoja wa Mataifa yatuhumu wanajeshi wa JWTZ kwa kuwalea magaidi wa Kiislamu

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi lenye weledi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Moja kati ya majeshi bora kabisa ulimwenguni.Ripoti hii ni juhudi za watu wabaya wasiotaka kutambua juhudi ya jeshi letu
Back
Top Bottom