Mkuu umenikumbusha mbali sana...nilisoma hapo headmaster akiitwa TETiUta enjoy life hapo
Tanga Tech maarufu kama Tanga school
ilikuwa shule ya kwanza ya secondary ya serikali
ilianzishwa na wajerumani
mwaka 1895...
watu maarufu waliosoma hapo ni pamoja Jakaya Kikwete
Ditipile Mzuzuri na wengine weengi including mimi hapa...lol
Nenda uta enjoy
ukifika omba uwekwe bweni la Simba..huko kona wing moja maarufu inaitwa jamaica corner lol
ukiwekwa bweni la twiga utakuwa ----- lol
warembo wote huko wanaitwa Mbuni
since wana bweni moja tu linaitwa mbuni
go and have fun...
Mkuu umenikumbusha mbali sana...nilisoma hapo headmaster akiitwa TETi
daaaah teti, kijazi mwalimu wa nidhamu sintomsahauMie nilikaaa chui Karbu na bweni lá temboUlikaa bweni gani?
Mie nilikaaa chui Karbu na bweni lá tembo

Kaka yangu alisoma Tanga School ila 74 aliahimishiwa Moshi Tech sababu alichukua Electric na Tanga school hawakuwa na hiyo dept. Simtaji jina ataniua ila alimaliza Moshi Tech. 76 the same time as me nilipomaliza O level sisemi wapi ila one of the oldest girls schools in the country.Nimekusaidia?
Warsaw aka Tabora girls nini ulisoma?Kaka yangu alisoma Tanga School ila 74 aliahimishiwa Moshi Tech sababu alichukua Electric na Tanga school hawakuwa na hiyo dept. Simtaji jina ataniua ila alimaliza Moshi Tech. 76 the same time as me nilipomaliza O level sisemi wapi ila one of the oldest girls schools in the country.
The Boss ...,nilikaa faru wing 4 asee palikua mbali sana na dining hall ....hahahhaUlikaa bweni gani?
Mimi nilikuwa "Mbuni". Ha ha haaa long time. Mwaka gani The Boss ?Mi nilikuwa Simba wing no 4 tunaiita 'jamaica corner' enzi hizo
Ha haaa Teti alikuwa ananiogopesha. Yaani nikimuona natetemeka..akija assembly nahisi kujikojolea..nahisi suspension hiyooo inakuja kwangu. Hata kama hakuna kosa nililofanya. Tanga School ilikuwa nzuri sana enzi hizo![]()
![]()
![]()
daaaah teti, kijazi mwalimu wa nidhamu sintomsahau