Kenya South Sudan Conflict on Ilemi Triangle

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,873
Hivi hawa jamaa mbona wezi sana hebu checki hapa. Kila jirani analalamika

The Olemi Triangle is an area of disputed land in East Africa. Arbitrarily defined, it measures between 10,320 and 14,000 square kilometers (3,985 and 5,405 sq mi). Named after Anywaachief Olemi Akwon, which some years back it known to be the Anywaa territory, the territory is claimed by South Sudan and Kenya and borders Ethiopia. Despite use and raids by tribes within Ethiopia, the Ethiopian government has never made an official claim on any of the Ilemi and in fact agreed that the land was all Sudanese in the 1902, 1907, and 1972 treaties.[1][2][3]

Kenya now has de facto control of the area. The dispute arose from unclear wording of a 1914 treaty which attempted to allow for the movements of the Turkana people—nomadic herders who had traditionally grazed the area. The perceived economic marginality of the land as well as decades of Sudanese conflicts are two factors that have delayed the resolution of the

Ilemi_triangle_map.PNG

Source :
Ilemi Triangle - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hivi yale maneno ya comrade Mugabe ulifikiri ni ya uwongo???hao majamaa Nigeria wenyewe wanakaa kushoto kwa hao
 
Watanzania ni vema kujihadhari na Kenya kwani Eac ya awali ilivunjika Kwa sababu ya kiwanda cha General Tyre cha Arusha kwani mkataba Wa uanzishwaji Wa EAC uliitaka Tanzania ndo kijengwe kiwanda cha matairi na nchi wanachama wanunue matairi hapo. Cha ajabu Kenya ikaamua kujenga kiwanda chake cha Firestone ili kishindane na General Tyre.

Tujihadhari na kuchukua hatua sasa.

Ukimfuatilia Uhuru Kenyata mazungumzo Yake katika jumuia hii yeye anataka mipaka ifunguliwe hana jipya zaidi ya hilo. Maana Yake nikuwa anamzigo mzito sana wa kuwa na watu wengi wasio na Ardhi na kazi sasa anafanyaje kama c zaidi ya kutaka kututupia zigo la wahamiaji toka Kenya ambao kama serikali wameshindwa kutatua tatizo lao la matajiri wachache kuhodhi Ardhi kubwa isiyotumika.

Mambo mengine ya Ustawi Wa watu Wa EAC kiuchumi na kisiasa si LA muhimu kwao kama mshirika Wa EAC.
 
Loh hawa watu inaonyesha historia ya ni ya ubinafsi kupita kiasi ndio maana wametengwa na sehemu zote zenye neema.
 
Ardhi katika Kenya ni lulu na Familia ya Kenyatta ndio inayo ongoza kwa kuhodhi ardhi kubwa pamoja na vigogo walio kuwepo wakati wa utawala wa Mzee Kenyatta hasa wa jamii ya Kikuyu,hili suala la kujaribu kutaka ardhi yote ya nchi za E.A iwe huru kwa wakazi wa nchi zote ni mbinu ya kujaribu tu kuwatafutia wananchi wake maeneo akijua uwezo wao kifedha ni mkubwa na kwenye hili Tanzania isije kulegeza uzi, japo Wakenya sasa wanaingia na mbinu mpya ya kuja kuolea huku kama vile mabinti wa Tanzania wame kuwa warembo ghafla kumbe wana ajenda.
 
Watanzania ni vema kujihadhari na Kenya kwani Eac ya awali ilivunjika Kwa sababu ya kiwanda cha General Tyre cha Arusha kwani mkataba Wa uanzishwaji Wa EAC uliitaka Tanzania ndo kijengwe kiwanda cha matairi na nchi wanachama wanunue matairi hapo. Cha ajabu Kenya ikaamua kujenga kiwanda chake cha Firestone ili kishindane na General Tyre.

Tujihadhari na kuchukua hatua sasa.

Ukimfuatilia Uhuru Kenyata mazungumzo Yake katika jumuia hii yeye anataka mipaka ifunguliwe hana jipya zaidi ya hilo. Maana Yake nikuwa anamzigo mzito sana wa kuwa na watu wengi wasio na Ardhi na kazi sasa anafanyaje kama c zaidi ya kutaka kututupia zigo la wahamiaji toka Kenya ambao kama serikali wameshindwa kutatua tatizo lao la matajiri wachache kuhodhi Ardhi kubwa isiyotumika.

Mambo mengine ya Ustawi Wa watu Wa EAC kiuchumi na kisiasa si LA muhimu kwao kama mshirika Wa EAC.
sisi kawaida yetu kujiingiza kichwakichwa kutafuta sifa ya kisiasa wakati wenzetu ni uchumi tu. tena kama wakiona hawapati basi wanapiga teke hawana haja. tuwe macho na mawazo ya kufungua mipaka common currency na eti shirikisho la kisiasa. hawa jamaa watatu gangrape na kutuacha mikono mitupu. tuwe karibu ila tuwe macho saa 24.
 
Back
Top Bottom