Recent content by Muzorewa Kayoza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa

    Umenena mkuu. Big up. Huu in muda wao kujitafakari.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Flyover na Fedha za World Bank: Kipigo kingine kwa Tanzania

    Mkulu wa kaya aliwahi tamka nchi hii haihitaji misaada KULIKONI?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimefurahia Nape kutenguliwa uwaziri, sababu hizi hapa

    Slaa hakufukuzwa chadema, kuwa na kumbukumbu sahihi sio kuandika utumbo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Maneno ya BUSARA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Umenena mkuu Big up.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    mh Tundu Antipas Lissu HONGERA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

    Inatakiwa Zanzibar huru.
  8. M

    JamiiForums Tanzania ITV mmewakosea sana watanzania

    ITV imepoteza dira na maana halisi ya Uhuru was habari ktk tasnia hii muhimu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Acha kuleta porojo, moja ya qualification ya uzalendo ni kuchukia UOVU ktk serikali, Dada Mange yupo sahihi, hatuwezi kuwa na taifa ambalo linaongozwa pasipo kufuata sheria na taratibu za nchi, kikubwa jamaa wa kolomije ajitetee mwenyewe. HATUWEZI KUONGOZWA NA VILAZA.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

    Acha kesi let's base on reality We want qualified or disqualified certificates,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtuhumiwa mkubwa wa Madawa (MOST WANTED) anakamatwa lakini watu wanamjali Wema zaidi humu?

    Wanaigiza hao bro, fake allegations, fake investigation, kazi kuwapima watu vinasaba, tunataka mtu anakutwa na kg kadhaa hapo tutawaelewa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafukua kaburi la biashara ya Freeman Mbowe, Nini asili yake?

    Hii inadhihirisha taaluma kuingiliwa na siasa, kwenda shule lengo ni kuelimika lakini mtu anapoiweka taaluma kando na kufanya kazi kwa utashi wa kisiasa , ni kujidhushia heshima na kutoa dhana ya taaluma kwa utawsla bora. HAPA tusitegemee kuijenga Tanzania ya viwanda zaidi ya kukomoana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Akili na fikra zako zimefikia kiwango cha naishi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Zijue sababu za UKAWA kukataa fedha za kuuzwa kwa UDA

    Jamaa kama kweli ni mpinga UFISADI atumbue wahusika.
Back
Top Bottom