Mama Samia yupo crystal clear yeye na JPM ni kitu kimoja. Tunajua na watanzania tunasikitika upinzani hamkutendewa haki lakini, kauli yake iltosha kuwakumbusha msichezee wembeutawakata. Sasa watanzania tuna covid hali mbaya anayebisha atembelee hospitali yoyote kma hakuti watu wamewekewa.oxygen...
Kiongozi.anyeyatetea uhai wa watu anaowaongoza. anapigwa vita.fembelea hospitali kubwa mitungi ya gesi imeishia kwenye watu wenye changamoto za kupumua. a wamezuiwa. .kupima vinginevyo tungeita corona.w
Yawezekana ndani ya Baraza la mawaziri anajijenga kwa kutoa hoja nzito na rais wanamkubali.. bahati mbaya nimefanya Kazi na wanyiramba ni jamii inayojikomba sanakwa viongozi wakuu hata kwa kusengenya wenzake ili aamniwe peke yake aachiwe.Lakini mwigulu afahamu njia hiyo haiwezi kumpa citizen...
Mwigulu ana elimu elimu kubwa IQ, lakini ana Emotional Quotient ndogo. Ikiwa hawezi kucontrol emotions zake hatufai kwa cheo cha rais. Rais mwenye akili kubwa na emotional intelligence ndogo sifa kuwa Rais.
Zamani sana awamu ya kwanza , mzee Malecela alilewa madaraka alisema , those who complain about the bad services of our rail transport can go to hell. Mwl alikuwa anachukia sana kiburi cha cheo kwenye Baraza la mawaziri hakubaka akapelekwa mkuu mkoa iringa .Nyerere uwe kwa walio juu yako na...
Mpango aliishi vizuri na rais na Makamu wake SSH. Ndiyo maana ameaminiwa,sasa kama kuna matumizi mabaya hiyo wizara aliyeongoza na ilikuwa ni maelekezo kutoka juu, kosa lake mr Mpango ni lipi? Unakumbuka hotuaba moja anasema mhe. Rais ulitunyoosha sana. Ina maana alikuwa jahazi moja na mhe...
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kwa maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Mwezi ndio unaleta kupwa kwa maji. Inasadikiwa ipo km 250000 toaka ardhini. Kama mwezi huh tulionao ungesogea km 50000 tu basi maji ya bahari ya tafunika maabara yote na ulimwengu uhai unafutika maana vuimbe nchi kavu watakosa jews ya kuvuta. Sasa fikiria china aunde mwezi wake, kwanza huo...
Kuna jamaa alifanya analysis anasema bajeti ya maendeleo ya kenya na ile ya Tanzania vinalingana. Kwa hiyo kenya ni kweli kabisa ana uchumi mkubwa kushinda Tz. Lakini mnalipa pesa nyingi kuservice mikopo ya madeni .kanusha hii point. ukweli kwa takwimu za bajeti za nchi mbili majirani wa damu...
Halafu walopfungwa mauaji ya wakristo kule Zanzibar yaliisha. Sasa wametolewa nje sijui mauaji yatarudi. Uhuru na haki zako kama raia zinaishia pale unapogusa haki na uhuru wa raia wenzako bila kujali dini yako. Haki ni pamoja na uhai wa raia kuishi . Usiguse haki yoyote ya mtu, na yako itaguswa...
Ni mapema mno kumpa hadhi ya Deng xiao Ping mama Samia. Biashara unayosema inapaa ni ya kufikirika kwani mitaani hela bado sana. Akiwa na utashi wa kisiasa Samia atatufikisha pazuri ila Level ya Deng, sidhani.
Deng ni mwanasiasa bora kwa kukuza uchumi wa nchi kutoka umaskini hadi utajiri ndani...
Lazima tukubali kuwa chanjo ya kurudi ni mgumu sana sababu vinabadilika muda wote. Chanjo ya covid hakuna inayozuia aina zote za virus hivyo. Tusubiri hadi mwisho wa mwaka sera ya WHO itabadilika tu. Tunarudi kwenye zile basic tatu 1social distance ,lockdown,na sanitizer . Wazungu...
Inasemekana covid ya india inaambukiza waliochanjwa na wasichanjwa. Halafu variant ya india inayoitwa delta naua zaidi waliochanjwa 68asilimia waliochanjwa wakiipata wanakufa. Tathmini ni kuwa ukichanjwa unapoteza nguvu ya mwili kujipambania na hiyo sina au nyingine yoyote itakayokuja kwa hiyo...
Kama DC jokate alikubali hiyo bei ya 3.1milioni kila taabbasi mamlaka iliyomteua imtengue. Wakuu wa idara wao ni kutegeshea tu .akizubaa hiyo bajeti itatumiwa na watanufaika kea uamuzi wake mzuri wa kuweka taa lakini nchi imeibiwa kea ignorance yake. Hivi kea nini bei ya kila mradi wa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.