Recent content by Muwazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aamuru afisa ardhi wilaya ya Butiama akamatwe kwa kuuza eneo la mnada

    Safi Sana waziri wangu kwa ufuatiliaji. Lakini sasa mbona Bunda mjini hujaongea na wananchi ulipita tu ukaenda halmashauri ndani ya robo saa ukaondoka. NJOO UONGEE NA WANACHI WA BUNDA HAWAJATEMBELEWA NA KIONGOZI YEYOTE TOKA MUINGIE MADARAKANI.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Hapo rais yuko sahihi kabisa kwa sababu hata mtoto akimdanganya Mzazi wake unadhani ni hatua gani itachukuliwa dhidi yake?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Safi Sana maana walidhani ni shamba la bibi. Hii ni awamu ya hapa Kazi tu hakuna mchezo lakini awajibishwe tena kwa kudanganya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini mbwa hatumiwi na wachawi

    Kakudanganya nani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini mbwa hatumiwi na wachawi

    Mbwa ni mwana haramu. Kumbuka Mbwa ni najisi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Voda na Halotel mtuonee huruma

    Pole sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Ndo maana anajidai kumkosoa Magufuli wakati yeye wapinzani walimpigia yowe bungeni kuwa ni fisadi hadi akaamua kujiuzulu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    MGOMBEA URAIS WALIAZIMA CCM NA MGOMBEA MWENZA WALIAZIMA CUF. IMEKULA KWAO WAMEBAKI KUONA AIBU NA KUTOA LIGHA ZA KEJELI.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Amekufa kifo cha Mende chaliiiiiiiiiiiiii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

    Anajisumbua huyo bora akae andelee kuishi na familia yake kwa amani maana hata umri nao umeenda.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Kifo cha mende chaliiiiiiiiiiiiii. Kauli ya Duni Hajj kipindi cha kampeni. Je, Kifo cha mende hakijamgeukia?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    safi sana Dr Shein sana sasa kazi tu.
Back
Top Bottom