Recent content by MuuzaStudyMaterials

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Membe ndani ya Straight Talk Africa na Shaka Ssali akishusha Nondo

    Dah huyu jamaa hakika anavunja yai si mchezo....!
  2. M

    JamiiForums Tanzania MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Lowassa asingehama CCM kwa hasira leo angekuwa ana nguvu kubwa sana ndani ya CCM, angekuwa anaongelewa yeye zaidi kuliko Membe. Lowassa ana fan base ya kutosha na ya muda mrefu sana ndani ya CCM. Fan base wake wapo loyal sana kwake, vijana kwa wazee, this I can say. Hio fan base ndio...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Mwisho wa kustaafu kibubu chako kina 98m, huku ukiwa na miaka kama 72 hv maana ila documents zinasema una miaka 60, bongo tunajuana. Badala ya kupewa jasho lako lote 98m unapewa 24.5m baki 73.5m inabaki mikononi mwa wanasiasa wanaojilipa kila aina ya marupurupu na wakiinjoi keki ya Taifa vizuri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa herini JF. Kila muda najikuta nachungulia JF. Sitaki tena

    Sitaki tena JF. Sitaki kujua kinachoendelea kupitia JF. Mtandao gani unakufanya kuwa kama una arosto fulani hv amazing! Nikija huku labda niletwe na google nikisearch kitu, na nikishamaliza kusoma nasepa zangu. Sitaki tena mazoea na JF. Huu mtandao ni kama una chembechembe za caffeine za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Khan : Ifahamu Baraka au Laana iliyo Nyuma ya Jina lako!

    Sababu ni za kiroho zaidi kuliko uhalisia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Tumia Telegram, whatsapp achana nayo kwa muda ukiendelea kusikilizia
  7. M

    JamiiForums Tanzania ‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

    Duuuu ww ndo GT sasa nimekukubali
  8. M

    JamiiForums Tanzania ‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

    Hv kwa avatar yako nikikutongoza utanimaindi kweli?
  9. M

    JamiiForums Tanzania ‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

    Hahahahaha wewe jamaa bana nimecheka sana. We ni mteja wa Melo kwa kutumia huduma yake ya JF, kupitia wewe ndio anaingiza pesa usipokuja haingizi pesa, so yeye anakutambua kama mteja wake. He is correct.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. 😅😅 The truth revealed

    We nyang'au next jitete hv: Kwamba, walishirikiana na Mkenya ku invent hio Mpesa ila kwa kuwa Mkei hakuwa na hela as ku invent hio tech inahitaji hela mingi, so ikabidi awe mdogo akawaachia jamaa wenzake wenye hela zao wakahodhi kila kitu, but the history holds Mkei alikuwa mmoja wa watu walio...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

    Nimeghairi kwenda Tanga km mambo yenyewe ndo haya. Nabadilisha line. Tunatumia damu bana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

    Ukikizungusha sana inachakaza utamu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

    Umekula mtoto mzuri?
Back
Top Bottom