Recent content by mutembap

  1. mutembap

    Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Majengo yaliyokuwa yanatumiwa na serikali ni majengo ya ndaki ya elimu ya biashara na sheria (CBSL), pesa zilizotajwa ni kujenga ndaki sayansi asilia na hisabati (CNMS) pamoja na ndaki ya sayansi ya dunia na uhandisi (CoESE)
  2. mutembap

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi hu. Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya...
  3. mutembap

    For JamiiForums Mobile users

    hours HDD
  4. mutembap

    BODI YA MIKOPO NI JIPU LINALOSUBIRI KUTUMBULIWA

    Maombi ya mikopo ni hadi pale utakapo kuwa umepata chuo. Ni baada ya TCU kupeleka majina ya waliopata vyuo Loan board Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mutembap

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Art in education ipo pia ila ni college of humanities and social science CHSS Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
  6. mutembap

    Updates on UDOM 2017/2018 general election

    Federal President FRANSISCO NZALALILA amemshinda BAALI IBRAHIM College of natural and mathematical science (CNMS) Vice president and deputy vice President HAMIS NGELEJA & ANGELINA MASENGWA wamewashinda ALBERT FADHIL & IMAKUKATA Walioko college nyingine wekeni matokeo ya huko.
  7. mutembap

    Jinsi ya kuweka password kwenye folder za computer

    Nilikuwa nataka kuweka password kwenye baadhi ya folder za computer yangu kama kuna mtu anajua anaweza kunielezea. Nataka niwe nafungua mm peke yangu zisifunguliwe na mwingine.
  8. mutembap

    Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Sasa kama amesema 70,000 mara elfu moja unapata mil 700 au mil 70
  9. mutembap

    UDSM chuo baba

    DARUSO wamefanya hivyo maana kuna vyuo vingi bado havijafunguliwa ndo maana wapo kimya
Back
Top Bottom