Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Wakuu Mdogo angu pia kapata
Physics C
Chemistry E
Mathematics D
Divisio II ya 12

Ypo mjibu kwa sasa mimi ndie nabeba jukumu la kumwombea vyuo,,
Je,, ni kozi gani znamfaa kwa matokeo hayo tukizingatia ushindani katika vyuo??
Pamoja na hilo ni kozi gani walau hatahangaika sana mbeleni,,?? Nikimaanisha kuajiliwa na huenda kujiajili..

Natanguliza shukrani nyingi kwenu GT wa JF
 
Wakuu vip kwa mwenye div II ya 12 PCM
Anaweza pata kozi gani ya Engineeeing UDSM?? Atleast nzuri kuajiliwa na kujiajiri pia,..
 
KWA PALE COLLEGE OF EDUCATION ZINATOLEWA KOZI ZIFUATAZO

1. Bachelor of education in Arts (BED-ARTS)

Walimu wa masomo ya sanaa

2.. Bachelor of education in Psychology (BED-PSY)

Hii ni kozi inayoandaa walimu wana saikolojia, wanasaikolojia wa field ya elimu

3. Bachelor of education in Guidance and councelling (BED-GUCO)

Hii ni kozi inatolewa kwa ajili ya kuandaaa wlimu watoa ushauri nasaha

4. Bachelor of education in management and administration (BED-ADMAN)

hii kozi inaandaa walimu wasimamizi wa mifumo ya elimu, yani maafisa elimu na maafisa taaluma

5. Bachelor of education in special needs education (BED-SPED)

Hii kozi inaandaa walimu wa watu wenye uhitaji maalumu, yani walemavu

6. Bachelor of education in early childhood education (BED-ECE)

Wallimu wa elimu ya awali, na wataalamu wa malezi ya watoto

7. Bachelor of education in adult education (BED-ADEC)

Walimu katika taasisi zitoazo elimu ya watu wazima

8. Bachelor of education in science (BED-SCIENCE)

walimu wa masomo ya sayansi

9. Bachelor of education in science with ICT (BED-ICT)

Wallimu wa sayansi ya TEHAMA

10. Bachelor of education in commerce and mathematics (BED-COM)

Walimu wa masomo tajwa hapo juu

11. Bachelor of education in project planning and management (BED-PPM)

Walimu, waapanga sera na usimamizi

ALL IN ALL

Kozi zote zitolewazo ni nzuri, utaratibu uliopo sasa ni kwamba unachukua masomo mawili , masomo ya kufundishia, somo moja ni MAJOR yaani somo lako kuu la kufundushia ndani ya somo hili utasoma kozi mbili za hilo somo, somo lingine ni MINOR yaani somo utakaloweza kufundisha pia, hapa utasomea kozi moja tuu.

NB

sio kila kozi utachukua masomo mawili, kozi hizi utachukua somo moja

1. Bachelor of education in childhood education
2. Bachelor of education in special needs education

TETESI.

1 utaratibuu huu unaweza kubadilika, mwaka wa masomo 2017/2018, kwa mwaka wa kwanza wanaokuja, yaani ukawa wanatoa masomo ya kufundisha yawe yote MAJOR yaani unasoma kozi mbili kwa kila somo.

2. Kuna uwezekano wa baadhi ya kozi kuongezwa, utakuta kuna nyingine zitakuwa zimeongezeka ila hazijatajwa hapo juu.

MF. Bachelor of education in language and music (walimu wa lugha na muziki), bachelor of education in fine and perfoming arts (walimu wa sanaa za vitendo mf. uchongaji, uchoraji), bachelor of edcuation in forensic psychology (walimu wa saikolojia ya sheria na uhalifu) hizi ni tetesi tuu wala usitilie maanani, though yaweza kuwa kweli

SPECIFICALLY HII NI COLLEGE YA WALIMU

Kwa nini wanatoa masomo ya kufundishia?

jibu: ili wakupe nafasi ya ushindani katika ajira, kwa sababu, kozi zitolewazo hapo zina taaluma nyingine kwamfano, hiyo bachelor of education in psychology, hii huandaa walimu wanasaikolojia, wengi wao ni wakufunzi wa nyuo vya ualimu, kiufupi wapo wengi na wamejaa

bachelor of education in management and administration, hii huaandaa maaafisa elimu na taaluma, sasa je wapo wangapi

BILA SHAKA NIMEELEWEKA, NINAZIJUA ZA HAPO TUU, though na vyuo vingine pia ndani ya UNIVERSITY OF DODOMA nitakutafutia list ya kozi za chuo kizima.

AHSANTE🙂
 
Kama anataka kusoma hii course basi asiwe na ndoto za kuajiriwa maana itachukua mda sana mpaka kuajiriwa

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu msaada unashauri asome coz ipi angali olevel ana f apart of ualimu?
 
hongera mno kwa matokeo mazuri,please omba kwenda kusoma hiyo degree,sky its a limit bado ina nafasi nzuri ya kuajiriwa ila lengo liwe ni kujiajiri ,ishi na fikia ndoto yako
sawasawa and thans mkuu
 
hongera mno kwa matokeo mazuri,please omba kwenda kusoma hiyo degree,sky its a limit bado ina nafasi nzuri ya kuajiriwa ila lengo liwe ni kujiajiri ,ishi na fikia ndoto yako
sawasawa and thans mkuu
 
Back
Top Bottom