Recent content by Mutatis_Mutandis

  1. M

    JamiiForums Tanzania Apps kila kona!!

    Hayo ndiyo mambo mazuri ya kujifunza kutoka nchi za wenzetu lakini wahusika wenye mamlaka za kudeal na bunifu kama hizi wapo wapo tu.!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Joseph Sanura aka Ngosha, aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goba Centre

    ....Simuungi mkono ngosha kwa kuua ila dada kama hutaki kumilikiwa kwa nini ulinikubalia?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wake za watu nimewanyooshea mikono, nasalimu amri

    utakosesha watu ruhusa za kwenda kwenye sherwhe mikoani kwa story zako za kubumba.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    .... kuna members humu walijua alofanya mambo yale ya kimasikhara.!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Lunyamila Stadium.!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

    .... angeanza kwa kuelezea inachangia % ngapi kwenye mapato ya muungano hadi ipate hiyo 2% kama mgao ingekuwa nzuri zaidi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa vyakula kwenye friji

    nakuja kula.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    ....ningejikita kujua ufundi wa vitu vya electronics hasa simu za mkononi, hadi sasa ningekuwa fundi mkuu kwa mji wangu na duka langu kubwa sana la simu na vifaa vyake.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    ... wanawake wakikupelekea moto ndivyo walivyo.!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    ndege wafananao huruka pamoja.!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    sijanunua gari ila nikinunua lazima niweke 3D plate No.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    ...ukipiga mkia vizuri mdada akapenda sana nalo ni tatizo.!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    kwenye uwiano wa population kati ya wanaume na wanawake na wewe umetupiga.!Wanawake ni wengi kuliko wanaume.. Birthrate ya wanawake ipo juu kuliko wanaume na Deathrate ya wanaume ipo juu kuliko wanawake.. so automatically Wanawake watakuwa wengi kuliko wanaume...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananitafuta tarehe za mshahara tu

    ....akiwa na kina nyie 10,mshahara wake kwa mwezi huo 500k.
Back
Top Bottom