Kusubiri miezi michache tu unalalama! Inaonekana hujui kama kuna waliowahi kusubiri ajira hiyo kwa miaka sita (6)!
Hii ilikuwa mwaka 1996 serkali ilipokuwa bunkrupt hivyo kutokuwa nauwezo wa kuajiri watumishi wapya na kuwalipa mishahara hadi ilipoanza tena kuajiri mwaka 2002 baada ya hali ya...
Sina hakika kama mleta mada anajua walimu wa sayansi huwa wanasoma degree programmes zipi wawapo vyuoni. Hili linathibitishwa na uandishi wake wa kudai walimu wa sayansi wanatamani kuachana na degree zao za " B.A (ed) i.e Bachelor of Arts with Education. Mwenye degree hii ni mwalimu wa masomo ya...
Mgomo una taratibu zake. Ni hatua ya mwisho kabisa baada ya hatua za mazungumzo na reconciliation kushindikana. After all, bwana Mukoba alikuwa wapi siku zote! Walimu wana madai yaliyolimbikizwa kwa muda mrefu sasa takribani miaka 5! Ilikuwa bora awaeleze walimu kipindi chote hicho alikuwa wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.