Recent content by Mutambuki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Warioba atunukiwa nishani

    Mstahiki Meya nilichouliza ni kwamba hao ukawa walialikwa au ni weye kuona ni kwa nini hawakuwepo? Endapo walipewa mwaliko wakakosa uko sawa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Warioba atunukiwa nishani

    Ukawa walialikwa au vile Walioba yupo baasi nawo wawepo? Una hisia kama amezirwa au ukawa hawajamte ndea haki?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi na Ushindi wa mezani wa Stand United ulipolekea kupanda Daraja

    Steven Masele kahusika kwa kiasi kikubwa. Yule golikipa alitolewa kwa kuona anaziba ushindi wakati hakuwa na tatizo. Ile kutoka tu magoli hayo utotoooo huuuuuuuu hatutaende lea kwenye soka. Ulaya hakuna point za mezani kwetu sasa, subili za yanga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi na Ushindi wa mezani wa Stand United ulipolekea kupanda Daraja

    Jamal ni walewale mpira wa siasa tz mpaka lini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

    Umesahau kabila la wakamba japo asili yao kutoka Kenya ila TZ tupo wengi wilaya kilosa sasa Gairo wapo Arusha, Tanga n.k ukitaka na vijiji nitakutajia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Asante kwa taarifa
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    Hongera kwa tamko hilo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25

    Huna wazazi?. Huna kwenu? Huna ndugu? Hujasoma? Je marafiki? Unamjua Mungu kupitia wapi? Usijisike vibaya kuulizwa haya maswali maana naamini toka ndani ya makundi haya mke hupatikana humuo pamoja na makundi amabayo sijayaandika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Wajinga ndiyo waliwao hayo ni (ma....s..i)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madabida na mkewe wapandishwa kizimbani kwa kutengeneza ARV feki

    Vyeo wanavyopeana ni dill hizo oh
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Ujangili: Serikali yakanusha habari za Daily Mail

    Ni kweli udhaifu upo tena mwingi hata wakikanusha aje halitafuta ukweli tuujuao wa Tz
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Kwani kati ya hivyo 27 vyote vilikuwa vya chama gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Forbes: January Makamba and Mohammed Dewji are among The 10 Most Powerful Men In Africa 2014

    Yaani huyu anaji promo ili kugombea 2015 sio kweli yupo kambi ya EL ila kwa sasa inatengenezwa sambusa Pia yupo Ngeleja hawa watatu na Lowasa mwenyewe wanatafuta watu ili kila mmoja watu ambao wao wataam ini hiyo idadi akigombea atashinda
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgeja Mtovu wa Adabu!

    Ben haikuwa big g ni dawa ya miti shamba hiyo si unawajua wasukuma kwa ........ Huyo siku zote akiguswa EL anaumia yeye kwani ndiyo katibu mwenezi wa huyo EL
Back
Top Bottom