Ni mawazo yangu tu sio lazima mchukue chochote kutoka kwangu.
Naipenda Bongo movie na ndoto yangu ni kuwa miongoni mwa member wa bongo movie. Nina kipaji so kipaji cha kusomea masuala ya bongo movie hapana tangu mwanzo, nilikuwa nacho.
Kitu kimoja kwa bongo movie ambacho nimekiangalia kwa haraka...
Oi niseme kuwa ndege, reli za umeme ni vitu vya mhimu sana
Hamwezi kujua faida yake but he seek for the future life
Anataka kuiweka tz kuwa miongon mwa nchi zilizo katika mwonekano wa kupendza sana ili isaidie katika jamii.
Tena cha kufanya aongeze na kujenga mitalo chini ya aridh,
Aweke cctv...
Kuna jia mbali mbalibsana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.
Kufuta akaunti yako ya facebook kunaweza chukua siku 90 kuamilisha kufuta kila kitu
Ndani ya siku 14 akaunti yako itazimwa na baada ya hapo taratibu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.