Recent content by Mussa werema

  1. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

    Waliongea sana kuhusu yanga na mamelod saivi wamegeukwa ahahahah
  2. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Hata mm hapa sijawaelew kabis wataalm hilo waliangalie vizuli
  3. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Kiujumla tu watanzania sisi technologia imetutawala afu hatuna elimu yoyote kuhusiana na technoljia ya sim, ndo maana tunaibiwa na vifulushi kwa sababau hatuna elimu hyo
  4. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Kabisa hata mm huwa naowaona watu flan hivi ambao ni malimbukeni wa mtandaoni,, unakuta mtu anaweka majungu afu ukimwangalia ni mtu flan wa heshima kabisa
  5. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Mimi hilo nililigundua mapem sana,, maana wengi hawajui kuwa huwa wanajicholesha bila kujua na utajifanya msili afu status inakuumbua,
  6. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Vishawishi vipi
  7. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ni jibu tosha hilo
  8. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya nyanyuka usaidiane na Makonda

    Sabaya ni mtu smbye aliitajik san ktik nchi hii lkin kun vitu ambvyo ni hatli ndani ya siasa
  9. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Ni dhahili kabisa haya mambo kuyajua maan social media hazijaja kuangalia mambo ya kitanzania tu bali kujua dunia inaendaje kiujumla,
  10. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Watoto wadogo ndani ya hijab

    Ila mm sijakuelew kwakwel maana unavyondik
  11. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Sema kwa wamaume wengi hawajui makundi yao
  12. Mussa werema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

    Ww unatoa matangazo ama vip
  13. Mussa werema

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa dini wasichanganye siasa na dini mbona wanawatumia

    Ndugu elew kuwa hapo ulipo uko kwye dola ama ngome ya kidini huwez kufanya jambo bila kuhusisha dini, ni laima dini ihusike kwa mkazo mkubwa maan imeshikilia iman ya watu wengi dunian
  14. Mussa werema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Vinahusiana sehem kubwa sana sema hufatilii mambo
  15. Mussa werema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Hapa nmekuelew sana hatal huo ndo ukwel usiopingika kabisa
Back
Top Bottom