fanya window repair kama mdau alivyokueleza achana na swala la kupiga piga window hovyo na siyo Kila tatizo kwenye PC linatatuliwa na kushusha window
Muda mwingine kushusha window ovyo ndo uleta matatizo kwenye PC mfano kuuwa hard drive yako
no kinachotakiwa ni mtu A na B wote muwe na latest version ya whatsapp hii ni kwa maana encryption ni new updates Kati ya updates Za whatsapp walizo release hii ni usahidia usalama zaidi Kati yenu wawili mnaochati kwa maana Amna mwingine atakaye weza ona mlicho kiongea na yeye akifungua ataona...
jamaa yupo anae unganisha sema na yeye kachukua as agent so lazima apandishe bei coz ya kupata faida but Ata Mimi najua jamaa mwenye huduma na anajulikana umu ndani jukwaani ukiona VP ni pm niwafanyie michongo mana nami ni agent
kuana mahali nilifanya network na walichukua ISP wa ttcl kwa cost alzonambiya jamaa Ni kama 3milion but kwa package y mbps nimezisahau hila price utegemea na mbps ngapi unachukua
Mimi Nina Nokia Lumia 822 Verizon but Kila ninapojalibu kui updates uwa unaenda hadi 80% mwishoo ya fail so sijui Ni speed ya WiFi ama Ni simu yenyewe aina uwezo ya kupokea updates
Msaada wenu wakuu mana still ipo na window 8 na Kuna app nazikosa kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.