Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

Jamaa anafanya kaz halo tel Ana access ya kukuwekea unlimited bundle kwa mwez kwa ghalama ya 15...ila hajasema kama unanunua modem au....
 
HIVI MBONA TUNAALIBIANA BIASHARA ILA NASHUKURU NIMEWEZA KUPATA WATEJA ZAIDI YA 15 NA NINAOMBA MLIOPATA HUDUMA KUTOKA KWANGU MRUDISHE MAJIBU
 
Punguza kdogo na uifanye na kwenye simu tumalize mchezo

Service ni 6500 Tsh achana na huyo tapeli wa Mwanza elf 15 ni pesa nyingi kwa unlimited ya aina hiyo mkuu.

Usikubali kununua kwa bei hiyo.
 
Sasa mkuu unamshauri asikubali kununua kwa bei hiyo bila kumwambia akanunue wapi kwa bei ipi
jamaa yupo anae unganisha sema na yeye kachukua as agent so lazima apandishe bei coz ya kupata faida but Ata Mimi najua jamaa mwenye huduma na anajulikana umu ndani jukwaani ukiona VP ni pm niwafanyie michongo mana nami ni agent
 
jamaa yupo anae unganisha sema na yeye kachukua as agent so lazima apandishe bei coz ya kupata faida but Ata Mimi najua jamaa mwenye huduma na anajulikana umu ndani jukwaani ukiona VP ni pm niwafanyie michongo mana nami ni agent

Nimeku-pm mbona hukunijibu chochote ndugu...?
 
Hata hiyo 6500 bado nyingi!!
Watu tunakula bure tu hizo mambo sema mkipewa trick mnakuwa viherehere sana so why tunagonga kimya kimya.
Kuna program inaitwa Indosat ukiweka config kiaina unaserereka mbaya
 
Naona tapeli mmoja anatumia ID tofauti tofauti kuwarubuni watu.

Si unajua mkuu kila mbuzi anakula kwa uref wa kamba yake ndugu.

Heri ya hiyo 6500 ya jamaa kuliko mleta mada elf 15 sio fair kabisa sio.
 
Hata hiyo 6500 bado nyingi!!
Watu tunakula bure tu hizo mambo sema mkipewa trick mnakuwa viherehere sana so why tunagonga kimya kimya.
Kuna program inaitwa Indosat ukiweka config kiaina unaserereka mbaya
Indosat inatumika kwenye phone au PC mkuu na conf data zinapatikaneje. Maana inaweza kuwa bure ila kupata configuration ikawa shida kweli kweli.
 
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download movie na vitu vingine mbalimbali vyenye MB kubwa kwa speed ya ajabu, kupitia hiyo software unaweza ku-download kitu chochote kile UNLIMITED hata kiwe na Ukubwa kiasi gani. Kama upo interest na hili swala tafadhali wasiliana nami kupitia 0743497079 au 0625789923 Bei ya hiyo Software ni Shilingi 15000/= tu Kwa mwezi .

*ANGALIZO HII NI KWA WATUMIAJI WA COMPUTER TU
.umesema mtu hana uwezo wa kununua MB 100 atakuwa na uwezo wa kulipa 15000?
 
Mkuu, kwani ungependa akupunguzie kwa shilingi ngapi kiongozi...?.

Naweza nikakuelekeza huduma nyingine nzuri zaidi ya hiyo na kwa bei nafuu tu kiongozi.
Hiyo huduma nyingine itatumika hadi kwenye cm?
 
Back
Top Bottom