Recent content by Mussa Lucas

  1. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Poa mkuu
  2. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management, Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations. Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika...
  3. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza kiswaswadu changu

    Nauza simu yangu ndogo bei 18 elfu, ipo Dar es Salaam. Piga simu 0757804843, ina list na box lake.
  4. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari aina ya Harrier kwa bajeti ya milioni 16

    Mwenye Harrier ya rangi ya Siliver. Bajet milion 16 tuishi ndani tuwasiliane, namba iwe D, kama unayo nitafute kwa namba hii 0757804843.
  5. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kujitolea kwenye kampuni za Freight, Clearing and Forwarding

    Mimi nikijana Nina umri wa miaka 25, nimhitimu katika chuo cha Bandari college mwaka 2022 katika fani ya Freight Clearing Forwarding and Port Management. Nina uwezo na uzoefu wa kufanya kazi hizi Experience for planning, controlling and implementing all import and export activities. This...
  6. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kazi za ndani

    Kupitia taarifa hapo juu anahitajika binti wa kazi za ndani maeneo Dar es salaam-chamazi.ukiwa na uhitaji wa kazi nitafte kupitia namba hii 0757804843
  7. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki kitendo cha wadada kutoka na kanga kwenda kuoga kiukweli kinatutesa sana sisi wanaume

    Wana Jf natumain ni wazima wa afya, Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani nipo single. Hawa wengine ni wadada, kila mdada anachumba chake, kiukweli wote hakuna alieolewa au ana...
  8. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waha bhana,Nachukia wanaume wawili kukaa chumba kimoja.nishaulini niongeze kipi ili watengane??

    Akili yako inafanana na profile picture yako
  9. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waha bhana,Nachukia wanaume wawili kukaa chumba kimoja.nishaulini niongeze kipi ili watengane??

    Nyumba ya kupanga raha hasa [emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] Leo Waha wamepigana wenyewe kwa wenyewe,inadaiwa mmoja kaiba elfu tano ndani.Sasa kuna wanaomtetea na wanaomuunga mkono aliyeibiwa.Basi ndani ngumi zimepigwa humo [emoji23]. Sasa ule mlango wao una komeo nje,majirani si wakawa...
  10. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

    Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na shemeji yangu. Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana. Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa...
  11. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi ishi na binti nyumba moja anakupenda kama hakupendi

    Tatizo M'bishi Sana
  12. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi ishi na binti nyumba moja anakupenda kama hakupendi

    Nimekutumia namba
  13. Mussa Lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi ishi na binti nyumba moja anakupenda kama hakupendi

    Nimelete kwenu Uzi huu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo sina hata miezi miwili nimehitimu chuo. Nimekuja hapa kwa kaka yangu maeneo ya wilaya ya Kilosa huku kupumzika kidogo huku nikiangalia harakati za kufanya baada ya kuhitimu elimu ya chuo. Mada kuu, kaka yangu ana mke wake...
  14. Mussa Lucas

    JamiiForums Tanzania INTERVIEW FREIGHT CLEARING MWENYE UFAHAMU

    Jamani Nina interview kwenye kampuni ya freight-nahitaji mwenye uelewa na maswali wanayopenda kuuliza
Back
Top Bottom