Natafuta kazi au kujitolea kwenye kampuni za Freight, Clearing and Forwarding

Mussa Lucas

Member
Jun 12, 2022
16
25
Mimi nikijana Nina umri wa miaka 25, nimhitimu katika chuo cha Bandari college mwaka 2022 katika fani ya Freight Clearing Forwarding and Port Management.

Nina uwezo na uzoefu wa kufanya kazi hizi

Experience for planning, controlling and implementing all import and
export activities. This includes:

(A) Preparation of Documentation,
(B) Managing Clearing and forwarding Operations and Logistics,
(C) Booking of shipping space, assist payment of duties and taxes
and also to correct all customs quarries and requests.

Napatikana kwa namba hizi: 0757804843 Au kupitia E-mail mussaluca83@gmail.com

Niwatakie majukumu mema na Mungu awabariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom