Recent content by mussa christopher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza swali

    Mtu aliyesoma deploma ya phamarcy anaruhusiwa kufungua pharmacy naomba msaada wa jibu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Naomba kuuliza kufungua pharmacy nikama shillingi ngapi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Diploma in Diagnostic Radiography

    radiology unawezaje kujiajiri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya alama katika masomo vilivyotumika katika uteuzi wa kujiunga na Kidato cha Tano 2017

    Mbona WENGINE wamepata 3 point 25 wameachwa kwenye comb DCC
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba msaada vyuo vinavyotoa taaluma pharmacy ya mwaka moja

    Wadau nilikuwa kutajiwa vyuo vinavyotoa pharmacy ya mwaka moja
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maziwa kwa mtoto

    Kanunue piripiri maga aitwage aipike kwenye uji kila siku awe anakunywa uji wa piripiri maga mama maziwa yatatoka tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maziwa kwa mtoto

    Achukue piripiri maga aiponde aweke kwenye uji aweanakunywa mama kila siku kila siku
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta soko la choroko na dengu

    Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua duka la mahitaji mbalimbali

    Wadau, Mimi ninamtaji wa milioni tatu nataka kufungua duka kubwa la mahitaji ya mwanadamu kama chakula na vitu mwingine. Naomba ushauri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ufaulu huu unaweza kusoma kozi gani?

    Naomba ushauri, Dada yangu anaufaulu huu hapa; Physics D Chemistry C Biology D Mengine yaliyobaki F Ushauri jamani comment zenu sio matusi kama huna ushauri soma pita
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuliza zile prediction za mechi za jamii form wazee kubet

    Naomba kusaidiwa zile prediction za mpira zipo thread ngani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliye soma nursing ya mwaka moja anaweza kusoma certificate ya nursing ya miaka 2

    Wadau habari na mdogo wangu kasoma nursing ya mwaka moja anaweza soma certificate ya nursing mwaka moja matokeo yakidato cha nne physics D biologyD chemistry C mengine F anaweza akaomba nacte akapata akitumia cheti chake cha nursing mwaka moja na matokeo take ya kidato cha nne
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoifahamu wilaya ya Misenyi mnisaidie mimi mwalimu wa ajira mpya

    Ipo mkoa wa kagera ukifika bukoba mjini kwa mbele
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada duka la nafaka

    Naomba orodha ya vyakula vinatumuka kwa wingi na mzunguko wake in mzuri naomba msaada jamani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ndugu zangu wanajamii, Mimi nilikuwa nataka ushauri wa biashara ya duka la nafaka na mazao ya muhimu ambayo ni chakula kwa binadamu; yenye mzunguko mzuri kwa biashara.
Back
Top Bottom