Ushauri kwa ufaulu huu unaweza kusoma kozi gani?

Kama kuna course ya pharmacy technician anaweza kusoma na kujiendeleza kuwa pharmacist baadae naona yuko vizuri kwenye chemist.
 
Duuuu atapata tabu sanaasee F zingine zotee du yaani hapo anaonesha hakuwa na uwezo kabisa inamaana kabahatisha hata hizo D sina jibu maana hasaidiki
 
Back
Top Bottom