ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Bachelor ya Medical LabaratoryNa mtu mwenye dplm ya science laboratory technology anaweza kusoma coz gani nyingine degree
Bachelor ya Medical LabaratoryNa mtu mwenye dplm ya science laboratory technology anaweza kusoma coz gani nyingine degree
Shukran mkuuBachelor ya Medical Labaratory
Asante mkuuRadiation Therapy hii ni kozi inahusika na kutibu kwa kutumia Mionzi!! Tanzania ni pale Ocean Road na inatolewa muhimbili tuu kwa Degree!!! Uwe umepiga PCB advance na una one au 2 ya mwanzo!!
Diagnostic radiography hii ni kozi inayohusika na Imaging diagnosisi katika Hospital inahusisha Modalities hizi ultrasound,COMPUTED TOMOGRAPHY (CT Scan),Magnetic Resonance Imaging (MRI),PLAIN X-RAY (X-RAY),MAMMOGRAPHY (MATITI UNATUMIA X-RAY KUCHUNGUZA),FLUOROSCOPY,ANGIOGRAPHY,RADIONUCLIDE,NA NUCLEAR HIZO ZOTE zipo ndani ya Diagnostic radiography lakini kwa tanzania husomi Nuclear!! Ila hizo zingine tunasoma!!! Hamna Degree ake hapa Tanzania ipo diploma tuuu na ni Bugando na Muhimbili tuu!! Radiology ni neno linalo kusanya diagnostic radoography modalitoes zote nilizo kutajia hapo + radiation therapy na hizo nuclear!!!
Kama una swali jingine labda
We jamaa nakutakia maisha marefu sana...ukipotea humu jukwaa hili linapwaya sana...ni msaada mkubwa sana we jamaaRadiation Therapy hii ni kozi inahusika na kutibu kwa kutumia Mionzi!! Tanzania ni pale Ocean Road na inatolewa muhimbili tuu kwa Degree!!! Uwe umepiga PCB advance na una one au 2 ya mwanzo!!
Diagnostic radiography hii ni kozi inayohusika na Imaging diagnosisi katika Hospital inahusisha Modalities hizi ultrasound,COMPUTED TOMOGRAPHY (CT Scan),Magnetic Resonance Imaging (MRI),PLAIN X-RAY (X-RAY),MAMMOGRAPHY (MATITI UNATUMIA X-RAY KUCHUNGUZA),FLUOROSCOPY,ANGIOGRAPHY,RADIONUCLIDE,NA NUCLEAR HIZO ZOTE zipo ndani ya Diagnostic radiography lakini kwa tanzania husomi Nuclear!! Ila hizo zingine tunasoma!!! Hamna Degree ake hapa Tanzania ipo diploma tuuu na ni Bugando na Muhimbili tuu!! Radiology ni neno linalo kusanya diagnostic radoography modalitoes zote nilizo kutajia hapo + radiation therapy na hizo nuclear!!!
Kama una swali jingine labda
ukiwa na Ultrasound machine moja ambayo inafanya vipimo vingi hasa ikiwepo na Doppler na ukapata site nzuri, utapiga ela maana kipimo cha Doppler tu si chini ya Tsh.80,000/= hapo bado wale wa tumbo sijui wamama wajawazito,radiology unawezaje kujiajiri
zote nzuri chief, ila itategemea na msomaji amejipangaje kukabiliana na fani atayochagua.Diploma in pharmaceutical science na radiographic IPI nzur wakuu??
Nakwaupande wa ajira je vipzote nzuri chief, ila itategemea na msomaji amejipangaje kukabiliana na fani atayochagua.
Pharmaceuticals ajira huwezi kukosa, watu lazima waumwe na lazima waende hospitali na lazima wanywe dawa either kutoka hospitalini au Pharmacy.Nakwaupande wa ajira je vip
Unatutisha mkuuukiwa na Ultrasound machine moja ambayo inafanya vipimo vingi hasa ikiwepo na Doppler na ukapata site nzuri, utapiga ela maana kipimo cha Doppler tu si chini ya Tsh.80,000/= hapo bado wale wa tumbo sijui wamama wajawazito,
Radiology nzuri sana hasa upande wa Ultrasound, lakini kwa mashine zenye kuzalisha RAYS kama x-ray na ct-scan ni hatari tupu....kama mtoto huna ni heri utafute mapema kabla hujaingia kwa miguu miwili kwenye hii fani.
Nimekupata mkuuPharmaceuticals ajira huwezi kukosa, watu lazima waumwe na lazima waende hospitali na lazima wanywe dawa either kutoka hospitalini au Pharmacy.
Radiology nimeeleza hapo juu chief.
sikutishi ila nimewaambia ukweri, kama huamini wewe fanya research ya madhara ya x-rays zote uje useme kama nimedanganya.Unatutisha mkuu