mussa christopher
Member
- Jan 4, 2017
- 16
- 4
Wadau habari na mdogo wangu kasoma nursing ya mwaka moja anaweza soma certificate ya nursing mwaka moja matokeo yakidato cha nne physics D biologyD chemistry C mengine F anaweza akaomba nacte akapata akitumia cheti chake cha nursing mwaka moja na matokeo take ya kidato cha nne