Maziwa kwa mtoto

Duh asali kwa kichanga mbona hatari sana!! Mama awe mtoto muda mwingi pia awe anamweka kwenye chuchu,itasaidia stumulation ili maziwa yatoke,,mkande mkeo mabegani,pia usisahau chakula/ mlo kamili,,,,mpige misupusupu,,msindikize hospital akachunguzwe chuchu zake
 
Tafuta mfugaji aliye na ng'ombe Wa maziwa. Awe anakupatia maziwa ya ng'ombe huyohuyo. Usichanganye maziwa ya ng'ombe wengine.

Pia mpe lishe bora mama.
 
Duh asali kwa kichanga mbona hatari sana!! Mama awe mtoto muda mwingi pia awe anamweka kwenye chuchu,itasaidia stumulation ili maziwa yatoke,,mkande mkeo mabegani,pia usisahau chakula/ mlo kamili,,,,mpige misupusupu,,msindikize hospital akachunguzwe chuchu zake
Mkuu kuhusu asali sielewi ila mama yangu ndo wazo lake hilo

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Warning: Mtoto wa umri chini ya mwaka mmoja haruhusiwi kupewa asali kwani ina madhara kwa watoto wa umri huo. Tafadhali acha kumpa asali haraka iwezekanavyo hadi afikishe mwaka mmoja.
 
Pili pili Manga mam ale .. ikishindika mwanzise formula asali kwa watoto wa changa si nzuri
 
Hao wanaomshauri ampe maziwa ya kopo sijui wamepata wapi utaalamu.. Kwanza hayo mazuwa ya kopo ni magumu mtoto hawez digest na yanamlemaza mama coz atahisi amepata mbadala
Ngoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.
 
mpe lactogen 1 wazazi wengi ck hiz hupata tatizo hilo lkn huisha baada ya siku tatu mpk week,glucose sio nzuri kumbuka mtoto akizaliwa anatakiwa kujitengenezea glucose yake na sio artificial,na hii ndio baadhi ya sababu zinazowafanya watoto wengi kuwa na gonjwa la kisukari
 
Ngoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.
Nahic hii pilipili manga itasaidia sababu naona humu wengi wameisapoti hiyo pilipili acha nifanye hivyo sababu kila mtu humu yuko upande wake wengine maziwa ya unga hayafai wengine glucose haifai kila mtu na mtazamo wake humu ni bora nijaribu hii pilipili sababu mama ndie anae tumia hakuna mbaya
 
Chukua tangawizi iliyosagwa sugua kifuani..kanda maji ya moto....ata mm nlpata hilo tatzo ...mama alinielekeza
 
Back
Top Bottom