Recent content by Mushidavid

  1. M

    Akimbiwa na mkewe kwa ajili ya umasikini, ashinda jack pot milioni 20 Kenya money

    Mvumilivu hula mbivu.Na kila Jambo Na Wakati wake.Huwezi kulazimisha Mambo
  2. M

    Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    kiwanja Hata kama Ni Cha mtu binafsi.Kumbuka Kuna Kupata Hati ya Kiwanja.Lazima Uende kwa Lukuvi.Sasa hapo ndiyo shida kama hutafuata utaratibu wa Serekali. Ni vizuri serekali kuangalia Bei Elekezu za viwanja.Watu tumepigwa sana.
  3. M

    Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    Hivi Huyu Waziri Lukuvi Alikuwaga wapi Jamani???.Au kila Jambo na Wakati wake.Big up Waziri.
  4. M

    Nchi yetu imekwama, uthibitisho ni namna rais Magufuli anavyoendesha mambo

    Maisha ni kupamabana.Tuache Uchwerereee.Piga kazi Brooo
  5. M

    Arusha; Nyumba za polisi zaangukiwa na mti na kusababisha maafa

    Poleni sana.kuangukiwa kwa nyumba za Mapolisi ni Nakumbuka swali liliuzwa wiki hii mwanzoni na Ndiyo swali lililo mtumbuaWaziri mwenyewe.Sasa swali limekuwa kweli wa halisia.
  6. M

    UKIMWI waathiri zaidi vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24

    Hapana.Siyo condom tuu.Chanjo kweli imepatikana na imedhibitishwa na who.Ina anza kutumika mwezi November.Tembele tovoti ya IHV
  7. M

    UKIMWI waathiri zaidi vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24

    Chanjo hiyo ya Ukimwi itaanza kutumika south Africa tarehe 16.November.Imeshajaribiwa na kuthibitishwa na WHO.
  8. M

    UKIMWI waathiri zaidi vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24

    Dawa ya chanjo imeshapatikana.Tena ni ya uakika Ina anza kutumika Tarehe 16 November.Ni hatua kibwa sana.
  9. M

    TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

    Jipu Lilikuwa kubwa Mno.Sasa lilipasuliwa bila kufuata utaalam wa kimatibabu.Hata sindano ya ganzi kulikuwa hakuna.
  10. M

    Kizaazaa kwenye basi baada ya kijana 'kumchafua' dada kwenye basi la mwendokasi

    Makubwa[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
  11. M

    Bajeti ya wizara ya nishati na madini ni trilioni 1.22

    Wizara hizi Mbili yaani Uchukuzi na Nishati kweli zinaitaji Badjeti zenye Uhakika.Nadhani Mwaka huu Miundombinu Afadhali tutaona kuna Kama kweli kuna Nchi inaitwa Tanzania
  12. M

    Lindi imeandaliwa vyema kuupokea mradi mkubwa wa Liqufied Natural Gas?

    Lindi hiyo hiyo kaka wewe unayoishi hapo.Mimi Naishi Arusha.Lakini Lindi nimepapenda sana kaka.Yaani Mandhari yake usiseme.Lindi Inauzika broo.Ngoja Gesi ikishaaanza kuja hapo itaniambia broo
  13. M

    Lindi imeandaliwa vyema kuupokea mradi mkubwa wa Liqufied Natural Gas?

    Jamani Lindi Jamani.Nilifika Lindi Mara yangu ya kwanza mwaka jana mwezi May.Niliipenda sana ile Mandhari yake.Lindi Kwa nchi zingine ni mahali Matajiri tuu ndiyo wanapaswa kuishi hapo.Lindi Mwenyezi Mungu kaipendelea sana.Ila tuu Wenyeji wa hapo wanashindwa kutumia fursa kibao tuu hapo.Ila Gesi...
  14. M

    DAR: Tani 3,000 zenye thamani ya Bil. 5 zakutwa kwa Mohamed Enterprise na Mkuu wa Mkoa, Makonda

    polisi Mambo mengine yanaitaji kusaidiwa hata kwa viongozi wa nchi lazima wasaidie polisi siyo raia peke yao.
  15. M

    Naiona Zimbabwe ikija Tanzania

    Wewe unaelalamika kuwa hii serikali itakuwa kama Zimbabwe,Wewe unataka kila kitu kutoka serekalini,Lakini nakuambia fanya Kazi kwa Bidii utafanikiwa tuu.Serekali haiwezi kukufanyia kila kitu.Miaka 2 nchi inabadilka.wewe subiri.Subira yavutta kheri.
Back
Top Bottom