Bajeti ya wizara ya nishati na madini ni trilioni 1.22

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
waziri wa nishati na madini mheshimiwa Sospeter Muhongo akiwasilisha bajeti ya wizara ya nishati na madini bungeni amesema bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2016/2017 ni trilioni 1.22 na asilimia 94 ya majeti hiyo itaenda kwenye miradi ya maendeleo na asilimia 6 iliyobaki itakuwa ni matumizi ya kawaida

#HAPA KAZI TU#
 
kama ni hivyo, bajeti itakuwa tamu sana.

Vipi ule mpango wa kutoa ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo aliouasisi kabla ya sakata la Escrow halijamng'oa wizarani??

Ile idea ilikuwa nzuri sana, ingekuwa safi sana wabunge wapigie kelele idea ile ianze kutekelezwa kwenye bajeti hii.
Maana Simbachawene alivyoachiwa wizara aliiua hii idea kabisa.
 
Prof. Mhongo kweli ni wa dunia hata kama hupendwi utapendwa tu kimoyomoyo na wapinzani wako kwani huwa unapangilia mambo kimkakati.
 
Wizara hizi Mbili yaani Uchukuzi na Nishati kweli zinaitaji Badjeti zenye Uhakika.Nadhani Mwaka huu Miundombinu Afadhali tutaona kuna Kama kweli kuna Nchi inaitwa Tanzania
 
94% kwa 6% daah hatari sana, Sijui ya wizara ya elimu ni lini wacha nisubiri.
 
Back
Top Bottom