Recent content by Muscular

  1. Muscular

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Sasa mgombea kiti cha uraisi anakuwa mkuu wa mkoa. ? Hii ni ajabu mama hakujielewa anataka nn. No sawa na kumpa Lowassa kuwa mkuu wa mkoa. Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  2. Muscular

    Lazaro Nyalandu: Nikiwa na mtoto Doreen Mshana tulipomtembelea hospitali

    Mungu utumia watu kupeleka jambo lake jema kwa watu wake. Ametumia hawa wazungu kujidhihirisha kuwa kila kitu kinawezekana kwa kila aaminie
  3. Muscular

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Sasa hawa n mabinti au wamama. ?
  4. Muscular

    Ni tukio la namna gani linastahili bendera kupepea nusu mlingoti?

    Kilicho kushtua n nn sasa. ? Wakati hawa wa Leo ndio wanaonekana vilaza na Mangu kawapiga chini. . Lakini wangekuja kuwa na vyeti halali
  5. Muscular

    Mtoto wa flora Mbasha akiwa na baba yake mpya

    LiFlora halina ata aibu kutangaza kwenye media huu ufuska wake kuja kuona na Mtt na kumuacha mzee mwenzake waliokula nae ujana pamoja nn.. huu ni uhuni mtupu. .
  6. Muscular

    Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Dunia inaenda kuingia katika uchungu kama uchungu wa kuzaa kwa mwanamke world war three(ww 3) is nigh. Kama hv ndio hvyo haswa ilivyo bs Korea hana lake maana hapo bado collabo ya marafiki washirika wa noma hii
  7. Muscular

    Nitahitaji mafundi wazuri kutengeneza / ukarabati nyumba Dar na Mwanza.

    Ata mtu wa Arusha anakubalika. ?
  8. Muscular

    Natabiri: Mh. Magufuli kuja kuwa Rais atakayependwa zaidi siku za usoni

    Uyu kiongoz kwa yale anayofanya ya haki ni raisi bora tuliyekuwa tunatamani maana amewakalisha wote waliokuwa wamejisahau.
  9. Muscular

    Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Uyu jamaa ni mbabe sana yaani muhimili mwingine wa nchi unaeleza unavyoona hali inavyokwenda kuwa haki unapokwa na mhimili mmoja yy anaita siasa.? Kweli hali ni tete ktk bongo letu hili.
  10. Muscular

    Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Huwez kumwita Bashe msaliti wakati anasimamia utaifa. au CCM ni chama waficha uovu. ?
  11. Muscular

    Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

    Mtaisoma namba 2020 ushindani utakuwa sio wa kitoto.
  12. Muscular

    Mbasha: Gwajima ana roho mbaya sana na roho ya uharibifu, hafai

    Kajiingiza kwenye siasa kaacha alichopaswa kufanya kama mtumishi wa God
  13. Muscular

    Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    Mbona imekuwa mapema sana kutafsiri kuwa Roma kapotea au watu wanajua nani kamchukua au kupotea kwake kunahusishwa na nn.?
  14. Muscular

    Mbasha: Gwajima ana roho mbaya sana na roho ya uharibifu, hafai

    Hapa swala sii dini gani, ni kwamba kiongozi wa nafsi za watu anapaswa kuwa aje? Mm nafikiri unatetea mtu bila kujali Mungu anataka nn. Lakini ungejua sheria za ukuwani ktk biblia Gwajima hasingefaa kuwa kuwani kwa kashfa zake hizi. Kwa haraka haraka naona Mathayo 24: ikitimia na watu hawaoni.
Back
Top Bottom