Recent content by Musasa

  1. M

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    So what should you do if you are attacked by bees? Run! Some people make the mistake of standing in place and swatting bees, but this only gives bees more time to recruit from the colony, and results in more stings. Get to shelter as quickly as you can. Get in a car or building that can be...
  2. M

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Uzi mzuri. Gharama ya kusafirisha mzigo wa kama gram 700 ni kama kiasi gani?
  3. M

    Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Jambo la busara ni kwa mawakala kwa umoja wao wakawa na chama chao chenye nguvu waweze ku negotiate commissions na makampuni ya simu. Vinginevyo, tunafanya kazi kama vibarua wasio na thamani..
  4. M

    Unatunzaje Pesa yako unafunga Biashara jioni?

    jamani, wapi naweza kununua safe?
  5. M

    Unatunzaje Pesa yako unafunga Biashara jioni?

    Wengine hurudi nazo nyumbani na wengine hufungia kwenye safe dukani! Wewe unazitunza vipi? Naomba mchango hasa wale wanaofanya biashara za M-Pesa, Tigo-pesa na wengine!
  6. M

    Msaada gari langu

    Nipo Dar
  7. M

    Msaada gari langu

    Ijumaa wiki iliyopita nilipeleka gari langu aina ya TOYOTA SPACIO(old model) kwa fundi ili kubadili CV joints maana zilikuwa zinapiga kelele. Baada ya kazi nilikabidhiwa gari langu lakini nilipoendesha kama kilometa moja hivi, break zikawa ngumu sana nikalazimika kusima kwa kutumia hand break...
  8. M

    Nataka nipate raha ya ukweli japo siku moja

    B. B. McKinney wrote a song called “Satisfied With Jesus” in 1926 that reveals the satisfaction that comes form our Lord. SATISFIED WITH JESUS 1 I am satisfied with Jesus, He has done so much for me: He has suffered to redeem me, He has died to set me free. Chorus: I am satisfied, I am...
  9. M

    Natafuta nyumba KUNDUCHI

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga kuanzia mwezi wa 7. Maeneo ya Kunduchi, Salasala, Mbezi beach na sehemu jirani na hapo. Vyumba vitatu, packing na fence. Budget yangu ni sh 450,000 - sh 500,000 kwa mwezi. 0717351000
  10. M

    Naomba kufahamu biashara ya Uwakala wa CRDB fahari huduma

    Muda mfupi uliopita nimechukua form za kuomba kuwa wakala wa CRDB huduma. Tayari ninafanya uwakala wa tigo, airtel na M-pesa. Nilikuwa anaomba mwenye uzoefu wa Uwakala wa fahari huduma anijuze hali ikoje? Biashara hii inalipa? Ina wateja? Msaada wa ideas tafadhali!
  11. M

    Tcu-ingiza jina lako uone chuo na coz uliyochaguliwa

    nimeangalia katika website ya tcu nikakuta jina langu kuwa nimechaguliwa kwenda Udom. Lakini juzi nilipoangalia majina yaliyotolewa na Udom, sikuona jina langu. Wadau hili likoje?
  12. M

    Tcu tcu

    Jamani, baada kuangalia kwenye website ya TCU, nimeona jina langu kwamba nimechaguliwa kwenda Udom. Lakini kwenye list ambayo imetolewa na Udom, jina langu halimo. Sijui tatatizo liko wapo!
  13. M

    Nauza line ya uwakala wa tigo na voda

    tafadhali nipigie 0717351000 tuongee kuhusu hiyo line ya tigo pesa
  14. M

    Mawakala wa m pesa tunaibiwa commision!!

    Ingekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!
Back
Top Bottom