The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,612
Hahahahaaa!
jaribu tigo, utaenjoy sana..
Hii ndo starehe yako?
Hahahahaaa!
jaribu tigo, utaenjoy sana..
There is a huge difference from having sex and making love i believe you are just having sex try to involve your emotions,make love to someone you love ndio utaenjoy Na kitu kingine inawezekana unaokutana nao hawajui kutoa maonjojo na ndio maana process nzima inakuwa boring .
Ngoja nijaribu.
Kipi sasa ninacho kipenda maana sijui nipendacho nakitafuta nipate raha.
aise sijui sijaeleweka nataka raha ni stareheke japo siku moja. Hayo unayosema its just friction na kupapasana tu hakuna kitu hapo.
Mimi nataka nipate raha. Nahisi kuna raha somewhere. Ndani ya moyo wangu nahisi kabisa kuna raha zaidi ya sex.
Sijui nitaipataje?
Ukiona hivyo ujue unaelekea kupata raha ya milele, ... na mwanga wa milele....
kukata gogo aisee.
Aise sijui sijaeleweka nataka raha ni stareheke japo siku moja. Hayo unayosema its just friction na kupapasana tu hakuna kitu hapo.
Mimi nataka nipate raha. Nahisi kuna raha somewhere. Ndani ya moyo wangu nahisi kabisa kuna raha zaidi ya sex.
Sijui nitaipataje?