Recent content by musa mwanawile

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji ambayo ukiyasikia unacheka

    Gamboshi! Kijiji hiki kipo wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Baba Tiffar ni nouma wengine wakasome nimemwelewa hatar
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya kuendelea kugharimia safari za Jakaya Kikwete imetoka wapi?

    Ana heshima ya kuwa Rais mi napata taabu ni nn? Tatizo mi naona tuna lalamika je? Nani anajua JK hizo xafar zinahusiana na nn?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Inawezekana sio wote maharage ya mbeya kuna wanaojitambua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Renatus Mkinga amuomba Rais Magufuli atakapounda Tume ya ufisadi Bandari na yeye awepo

    Hakuna tume kwa sasa jaribu baadae
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ogopa magufuli asiwawaze sekunde tu utaona watu vichwa chini? Nataman mamlaka husika iitazame hospital ya wilaya ya bariadi haina jokofu la kihifazia maiti
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Patamu hapo ila wacha movie indelee tanesco jaman msiombe magufuli akawa mgeni wa ghafula
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tutafakari kauli hii ya Mbowe

    Anataka kutuhadaa watanzania kwa malengo yake binafis kila mtu anahaki mbele ya sheria kama kila mtu anachofikilia kuwa ni vyema ruksa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

    Ndo maisha yetu nyuma ya kapeti tambua kuna xehem unakosea jipange upya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke niliezaa naye watoto 2, kanikata, nikaomba msamaha, kakataa, sasa ananitaka tena

    Kwanza brother mama wawili humpendi ila kwa njaa njaa zako za kipindi kile ulikuwa unamwigizia kuwa unampenda afu we unakuwaje na vijitamaa na madem wa wenzio! Unazingua kweli rudi kwa mama wawili coz ulishamchafulia profile yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Daaah! JPM ana mipango yake anayoijua ila ndo hivyo ilikuwa siri nzito na hatimaye Kasim Majaliwa ndo kapendekezwa kazi kwenu wabunge kumpatia kura za diyo kikubwa aendane na kasi ya HAPA KAZI TU! Si watawaliwa tunahitaji tanzania yenye maendeleo yenye kasi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anaishi mbali, tulikua tukiwasiliana, ila sasa mawasiliano yamepungua

    Acha aende zake japo maumivu hayazoeleki jikaze
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, utazaa nje ya ndoa iwapo mwenza wako hana uwezo wa kupata mtoto?

    Nitakaa kitako na my wangu tunajadili kwa pamoja kama ataafiki nalengesha nje?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naitwa musa nkwabi niko bariadi simiyu niko tayari kushirikiana na wana jf

    Nitaungana na wanajamii wenzangu kwa kila nyanja
  15. M

    JamiiForums Tanzania Deo Ngalawa ameteuliwa na CCM Ludewa kugombea ubunge

    Masanja anataka ubunge xa wanataka kugeuza bunge ukumbi wa starehe
Back
Top Bottom