Je, utazaa nje ya ndoa iwapo mwenza wako hana uwezo wa kupata mtoto?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Hii ni kwa wote, wanawake na wanaume. Ikiwa mke/ mume wako hana uwezo wa kupata watoto utachukua uamuzi gani?
 
Nadhani ndio maana wengi huwa wanajaribisha kwanza. Ikijibu, ndio watu wanasema "kwa shida na raha".
 
Hii ni kwa wote, wanawake na wanaume. Ikiwa mke/ mume wako hana uwezo wa kupata watoto utachukua uamuzi gani?

Mimi ni mwanaume na sijaoa ila endapo nitaoa na ikatokea mke wangu hana uwezo wa kupata watoto sitamuacha na wala upendo wangu kwake hautapungua kwa sababu watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu na Mungu ndie anayechagua ni nani wa kumpa mtoto na ni lini awape hao watoto hivyo si kazi yangu na wala sina mamlaka ya kumpangia Mungu kuhusu swala watoto. Nitakachofanya ni kuvumilia, kuwa mwaminifu katika ndoa yangu na kumuomba Mungu ili kwa huruma na upendo wake kwetu impendeze aweze kutujalia zawadi ya watoto.

Lakini pia ikitokea mke wangu hawezi kupata watoto tofauti na sababu za kiafya, mfano labda aliwahi kutoa mimba huko hali ambayo iliyopelekea yeye kushindwa kupata mtoto hivi sasa kwa sababu moja au nyingine bado sitamwacha na wala upendo wangu hautapungua. Nitaendelea kuwa mwaminifu kwake na tutaomba toba mbele yake Mungu kwa dhambi ambayo mke wangu aliitenda ya kutoa mimba na kusababisha kushindwa kupata mtoto, ili Mungu mwenye huruma aweze kutusamehe na atujalie tuweze kupata maana yeye ndio Alfa na Omega, yeye ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana na wala hakuna kinachoshindikana kwake.
 
Hivi hili tatizo ni la wanawake tu??!!!!
 
Mheshimiwa, umesoma na kuelewa swali vizuri au umekurupuka? Aliyeuliza swali ameliuza kwa pende zote mbili, wanaume na wanawake. Kama wewe ni mwanaume, jibu kwa upande wako ungefanyaje endapo jambo hili lingekukuta. Na kama wewe ni mwanamke, jibu kwa upande wako ungefanyaje endapo jambo hili lingekutokea.
 
Mpendwa nimeishia tu kukuombea Mungu akawabariki wewe na mkeo watoto. Usije ukakosa mtoto kabisa ili usipitie kabisa stress za kukosa mtoto

Ndoa ni kubebeana mizigo, lakini likija suala la kukosa watoto wanawake wengi wanakuwa tayari kuishi bila watoto kuwastiri waume zao. Lakini mwanaume mwenye uwezo wa kuzaa akubali kukaa bila mtoto thubutuu, ni wale wenye hofu ya Mungu tu na ni very very very few.
 
Mheshimiwa, umesoma na kuelewa swali vizuri au umekurupuka? Aliyeuliza swali ameliuza kwa pende zote mbili, wanaume na wanawake. Kama wewe ni mwanaume, jibu kwa upande wako ungefanyaje endapo jambo hili lingekukuta. Na kama wewe ni mwanamke, jibu kwa upande wako ungefanyaje endapo jambo hili lingekutokea.

Endelea kufuatili huu uzi utajifunza kitu. . . . Kwa jinsi ulivyo mimi pekee siwezi kukubadili attitude yako. . . .Kwa sasa tukubaliane kutofautiana ya kuwa sijaelewa na nimekurupuka
 
Rahisi sana kusema, ngumua sana kutenda....
Ukiruhusu (kwa kujua kabisa) mke/mume kutafuta mtoto nje, hiyo ndoa haitakaa iwe na furaha tena. Refer Indecent Proposal.
 
Back
Top Bottom