Recent content by musa kyando

  1. M

    Dr. Slaa kumjibu askofu Gwajima

    Slaa wewe ni jembe kuhusu kupambana na ufisadi
  2. M

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    moja kati ya sifa za gwajima ni kuharibu ndoa za watu na wapi/ na wapi? askofu na siasa alishafanya hivyo kwa mbasha sasa kahamia kwa josophin slaa wakati watu wanakufa kwa dhambi askofu
  3. M

    Lowassa apumzike, Magufuli aendelee na kampeni

    magufuli na lowasa wote wamefilisi nchi hii sichagui wote wawili matatizo
  4. M

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Chadema Ni Waongo Tu Pia Umesahau Hii Ya Lowasa Nikikatwa Jina Langu Urais Namleta Balali~lowasa
  5. M

    Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

    wanaosema A.C.T cha waha mimi ni mkinga niko ACT na hata halmashauri kuu ya taifa kuna wakinga wawili Godlove Fungo na Geofrey Sanga so wawe wanasema na wakinga tofauti na chadema eti mjumbe kamati kuu toka Mbeya ni mchaga anaitwa Hugho Kimalio.
  6. M

    Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    lowasa na rindmond au richard monduli
  7. M

    Ni chombo gani cha habari hapa Tanzania chenye habari za Siasa za uwazi na ukweli?

    Hapo ukweli ni kuwa radio tumaini ndo wakweli basi wengine inategemea umelipa kwa wandishi shilingi ngapi?
  8. M

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw, Magessa Mulongo amemshutumu M/kiti wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw, Freeman Aikael Mbowe kuwa ameongwa na mmoja wa waliyokuwa vinara wa kusaka Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili awe mgombea wa Urais kupitia chama hicho, pia aliongeza kuwa...
  9. M

    Hivi hii dhambi inaweza kuniepuka?

    0713,0712 nyingine 0658 hii mpya lakini
  10. M

    Shape la haja

    huyu lazima mchagga
  11. M

    Wanyarwanda kweli watamu (members only)

    vipi? mtamu kweli na alikuhudumia kwa bei gani? kimoja
  12. M

    Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

    kama inahusu chadema ilikuwa lazima wamuue LABDA ALIKUWA ANAULIZIA MATUMIZI YA RUZUKU MBOYE KAMWAHISHA KAMA WANGEEEE WATARIME
  13. M

    Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    Makongoro nyerere hata kama mimi ni chadema ila kwa makongoro namchagua suala la slaa asubiri kwanza amalize makongoro ndo nitamfikiria yeye samahani watu wangu wa moshi mtanisamehe kwa hili
  14. M

    Mwigulu Nchemba ajiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM

    chadema ndo wanazuru watu mfano ni mlinzi wa slaa
  15. M

    Jeshi latanda Mjini Songea

    mimi nimeona leo basi mbili za jeshi jwtz likiwa eneo la uyole likiwa full wajeda ndani wakawa wanaelekea barabara ya makambako mimi nilikuwa uyole labda nao wanakuja huko anzeni kuandamana kama nyie kweli makamanda si makamanda wenzenu
Back
Top Bottom